Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama...
Kweli shetani kawaingia hadi ndani ya mifupa, mleta mada huyo mtetezi wa mapenzi ya jinsia moja unamweka upande wa Mungu? uwe na aibu ndugu. Aonyeshe ushetani gani ndiyo ujue kuwa unatafuta laana ndugu au mpaka aje akupe live mzigo ndiyo ujue au nawewe ndiyo hivyo. Acheni jamani.
Lisu akipata...
DU wapinzani watu wa ajabu sana, wenyewe wanajisikia raha sana wakivunja katiba zao kwa maslai yao binafsi alafu bila aibu utasikia tunataka katiba mpya, upinzani Tanzania utakaa sana.
Mara utasikia Rais hafuati katiba mara Rais anavunja katiba. Hongera mleta mada kwa kudadavua na kutuchimbia...
Jamaa ameandika pumba sana lakini akaenda mbali zaidi na kuandika pumba za pumba zake kwa kusema vijana wanatakiwa waachiwe wafanye chochote kwani umli wao wa kujaribu kila kitu. Mleta mada lazima anatatizo la kisaikolojia au akili. Yaani anamaana vijana waachiwe kufanya lolote hata kama ni la...
Ndugu zangu wapinzani najua sana ukikosoa tu, cha kwanza unapata jina la ubatizo mtakatifu kuwa ni mamluki, umetumwa na mengine mengi. Ndugu zangu hata Mungu kama wewe ni msomaji wa Biblia utaona alikuwa anatulia anafundishwa na Musa na anakubali maelekezo sembuse Chadema na wapinzani? Tutakaa...
Leo Mh. Magufuli kule Zanzibar amesema kuwa akimaliza urais ataongeza mke wa pili. Kiukweli kiongozi kama Magu ambaye ni mwafrika na kiongozi mkubwa ambaye kwa muda mfupi amefaya mambo makubwa na ya ajabu, ambaye amewadindishia wazungu katika mambo mengi mazito akiwakilisha Mwafrika harisi...
Musa alimuuliza mungu ktk kitabu cha Kutoka 3:6 wewe ni nani? kasome uone jinsi Mungu alivyo jitambulisha kwa Musa ndiyo utaelewa kuwa waafrika tulikuwa sawa na bado tuko sawa ktk imani ya Mungu.
Mungu alijitambulisha kupitia mizimu na si vingine. alimwambia Musa kuwa mimi ni Mungu wa Baba zako...
Sera yake kubwa Lisu na watu wa Chademe ku lokudouni, hii nduyo sera wanayoimanini sana kutokana na gonjwa hili la korona ambalo linawasumbua majirani zetu na nchi za ulaya.
Shirika la Afya Duniani limesema ugonjwa huu utaendelea hata kwa zaidi ya miaka 2 hivyo kama tutampa Lisu nchi inamaana...
Amekiri kuwa yeye hakuwaacha wana Mbeya lakini sasa iwe basi kwani amemleta mtoto msomi ambaye yupo vizuri hili kuleta maendeleo kwa kasi ya ajabu hili kila Masafwa na Mnyakyusa ashangae mwenyewe lakini yule mtu mwenye sugu mwili mzima apigwa srabu mwili mzima awe mlaini kabisa na Mbeya iwe...
Tunaambiwa na tunaonaga watu wanaletwa na mabasi na maroli lakini Mbeya sasa watakuwa wameletwa na treni maana iti isi tuu machi. Tathimi inaonyesha wamefunika kanda ya ziwa hata wale wa Kigoma wanafuata. CCM imeenda mbali hata kuwanunu wenye maduka, mamalishe na wachuuzi wote wako barabarani...
Mwanzoni nilikuwa nakuona kama kweli ulivyokua unatembea na ukaweza kuuficha ukiitikadi wako, lakini huku mwisho nikama Yesu alivyowaita wale wenzako mafalisaya wanafiki, ukwepi.
Na ninyi vijana naona mnaangaika sana na hii CCM msifikili hata sisi wazee tunaipenda CCM hapana tumeichoka sana na...
Hakuna hata historia moja ya kweli iliyoletwa na watu weupe yaani Yuropiani kuanzia siasa hata dini zote zimetengenezwa kwa sababu ya kuufanikisha utumwa na baadaye ukoloni na sasa ukoloni mamboleo unaendelea. Kanisa ndilo pia limetumika sana kutuumiza sisi waafrika ndiyo maana makasisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.