Recent content by Man tindwa

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue nyota yako na inavyoweza kuwa sababu ya kutokuwa na mahusiano imara

    naomba nikupm
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naulizia yard inayouza gari za Toyota Platz

    Habari za majukumu wadau, Naomba msaada wa yard ambazo zinauza gari aina ya Toyota Platz hapa Dar na average price yake. Nimezunguka baadhi sijaziona. Natanguliza shukrani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kupata Kazi Serikalini kwa GPA ya 3.4

    Lakini gpa haina kitu utumish watu wanachukua kazi kwa kupata na maswali tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kupata Kazi Serikalini kwa GPA ya 3.4

    Kaka ,labda ulikosea kuappy lakin hicho kigezo kwa utumishi hakipo labda iwe kwenye kazi za research au malectures
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Sekretarieti ya Ajira

    Mkuu khetewesa ndo kwa mara ya kwanza mm nakusikia kwamba umeapply utumish haujaitwa mm najua siku zote utumish ukiapply na una vigezo vyote hasa original certificate zote lazima uitwe mkuu ,labda kama upo kwenye taasisi ya serikali kwa mkataba na haupitishi barua kwa mwajili kama wanavyotaka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Banna: UKAWA sio chama, hawawezi kuweka mgombea Urais

    Ulikotondo mkuu usilete matusi au ubaguzi kwa kusema graduates wa udsm wakati udsm kuna kozi nyingi hata wengine bana hawamjui wanamsikia tu yy ni Dr wa political science so usipende kugeneralize
  7. M

    JamiiForums Tanzania Azam TV king'amuzi kinauzwa laki ishirini 120,000/=

    Weka mawasiliano yako basi tukutafute basi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi

    Kijana shukuru Mungu acha mbwembwe kwani hiyo post iliinvolve pia watu.wa dgree naona unaonyesha umwamba sidhani kama IT assistant inahitaji degree kama si diploma pekee acha misifa isiyo na msingi degree ni degree tu coz hata salary yako na wao ni tofauti
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuweka kwenye fungu gani huyu bwana

    ww mpe miezi tano yote unamnyima mpe mambo so kila kitu upate majibu jf
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguno ya kimapenzi kutoka chumba cha jirani zimenifanya kuvunja amri za Mungu

    kAMA UNA MUDA WA KUTOSHA UKITOKA KAZINI NENDA KAFANYE MAZOEZI MAZITO UKITOKA HUKO HAUTAWAZA HUO UJINGA AU UKISHINDWA FUNGULIA REDIO AU SUBWOFFER KWA WASTANI HAUTAWASIKIA HATA
  11. M

    JamiiForums Tanzania TBC Jambo Tanzania usomaji magazeti/ press review asubuhi mnaficha nini?

    Its true nimeshangaa kuona magazeti yanasomwa kuanzia ukurasa wa tatu badala ya kurasa ya kwanza inasikitisha kuona wananyima watu uhuru wa habari na kuna magazet mengi kweli hayasomwi tbc mfano mwananchi sijaliona kabisa likisomwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    Kwa hiyo banda sio sababu kaka,inategemea na mahitaji yao kwa huo wakati
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    Tatizo ni hizo course zenu watu wanakua wengi sana ndo maana unaweza kupata banda ila wakaanzia 90 kuchukua marks inategemea na idadi ya watu wanaowahitaji kwa wakati husika
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Water Supply and Sanitanion Engineering

    Cheki utumish ajira zenu kibao mpaka wamereadvertise kwa kukosa watu fanya hima watu munahitajika kwa wingi wizara ya maji huko
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    Mm nazani inategemea na haina ya interview kaka kama watu walikua wengi na vigezo vya maksi zilikua ngapi hata kama umepata ngapi
Back
Top Bottom