Recent content by man-rock city

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hekari 400 za mahindi zafyekwa na askari wa TANAPA

    Hawa watu wamezoea kufanya kazi kwa kudekezwa kwan kama Rais na PM walikuwa hawawajali wanyonge unafikiri haya majeshi yangewaheshim? Mahindi yanakaa miez 3 had 4 yanavunwa kwann kutumia nguvu nyingi kuliko akili! it is shame on zem! JPM piga chini hawa wana vyeti feki.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Malecela: Kingunge hana shukrani

    Mzee malecela yuko sawa, kwani jana mgeni rasmi haikueleweka ni nani pale tu tuliye mdhani ndiye kushindwa kujieleza na kumkaribisha kingunge ili kutoa mchanganuo wa sera zake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Fundi Tiles anatumia nini Kunyoosha Mistari namna hii

    uzembe wa kutawaza huo
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    tar 25 oct tushirikiane kuondoa huu uchafu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wa TZ wote

    Mungu akubariki sanaaa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto anyakuliwa na fisi mgongoni mwa mamake

    tatizo watu wanafuga hao wanyama kama usafiri wao halafu hawawapi msoc, ccm iweke wazi tu huo ufugaji.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la mgomo wa abiria nchi nzima

    umekula maharagwe ya wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Tzania imeisha! hata ww ambaye uko nje ya utawala wa chama chako unaonesha jinsi gani ulivyo na ufinyu wa jinsi gani ya kutatua migogoro kwa wapiga kura wako. Badala ya kuelewa kwamba watu wanadai haki zao unakimbilia kulaumu chama pinzani, jitahidi kutumia maarifa kidogo uliyonayo kwani huu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wodi mojawapo ya Milembe

    isije kuwa kumbe ww ndo uko milembe?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

    tusiendelee kumulaum pr. kikwete kwan watu aliobaki nao kwenye uongozi wake huyu AG ndo mwenye unafuu. tumuacheni amalizie kwani huo ukilaza kila mtu anauona ni aibu kwa taifa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baba na malezi tanzania (bamata)

    akina baba hoyeeee! najua tuko wachache wenye moyo kama huo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye namba G2394 uliopo mzani mpya Vigwaza kuwa na ubinadamu

    kumbuka kwamba muomba rushwa peke yake huwezi mlaum kwan bila kupewa ushirikiano na upande wa pili hafanikiwi kwa hyo mlaum pia mtoaji.
Back
Top Bottom