Hekari 400 za mahindi zafyekwa na askari wa TANAPA

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,917
Askari wanaotajwa kuwa ni wa TANAPA wadaiwa kufyeka zaidi ya hekari 400 za mahindi katika kata ya Nambizo wilayani Mbozi mkoani Mbeya.

Mbunge wa Mbozi ameahidi kulifuatulia suala hilo ikibidi mpaka kwa waziri husika

Chanzo: ITV

My take:

Uchaguzi umepita kazi kwenu.
 
Wakati wanalima mpaka mahindi yanakuwa hao maafisa walikuwa wapi?!

Huu ujinga uko Bongo!

Mkuu si unajua ubabaishaji wa serikali iliyopita, kila kitu ilikuwa mzaha msaha tu, rais anacheka cheka tu, waziri mkuu analia lia tu, unategemea watendaji wa chini hali itakuwaje
 
Mkuu si unajua ubabaishaji wa serikali iliyopita, kila kitu ilikuwa mzaha msaha tu, rais anacheka cheka tu, waziri mkuu analia lia tu, unategemea watendaji wa chini hali itakuwaje

Magufuli ana kazi ya kumalizia vimeo vya Mkwere. Itachukua zaidi ya mwaka kuweka mambo sawa.
 
Wakati wanalima mpaka mahindi yanakuwa hao maafisa walikuwa wapi?!

Huu ujinga uko Bongo!

Hili swali linakera sana.
Wewe unatenda kosa ,ukikamatwa unauliza mlikua Wapi kunizuia?
Nenda kajitetee hivyo mahakamani kama utapona.
 
Magufuli ana kazi ya kumalizia vimeo vya Mkwere. Itachukua zaidi ya mwaka kuweka mambo sawa.

Kweli kabisa mkuu, inaweza kuchukua hata 3 years kukaa sawa vizuri na watu kubadilika jumla
 
HII TZ BWANA: kuviziana/kushtukiza tu. KWANINI HAWAKUKAA NA WAKULIMA ILI MSIMU UKIISHA WASILIME TENA? maana watu wamekopa/wameingia garama nyingi SASA WANAURUDIA UMASIKINI ndo maana mkulima anakuwa masikini kila wakati
 
HII TZ BWANA: kuviziana/kushtukiza tu. KWANINI HAWAKUKAA NA WAKULIMA ILI MSIMU UKIISHA WASILIME TENA? maana watu wamekopa/wameingia garama nyingi SASA WANAURUDIA UMASIKINI ndo maana mkulima anakuwa masikini kila wakati
Uchaguzi ukiisha mwananchi hana thamani!
 
INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA

Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.
Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.
Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?
Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?
Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?
Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende??
Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.
Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!
Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!
Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake

Junior
Insta USHAURI_mahusiano
 
Last edited by a moderator:
Hawa as Kari ni wajinga wa kiwango cha juu kabisa, ni nchi gani hii watu hata kujiongeza hawajui? kulikuwa na shida gani kusubiria mahindi yakomae ndio wakaweke mambo vizuri? Unafyeka mahindi wakati taifa linalia njaa na wananchi hao ni dhahiri hawakuwa wanajua walitendalo ni busara tu ingetumika. Wallah mimi ningekuwa kiongozi wao kwanza ningewafuta kazi kwa kuzembea kazi, walikuwa wapi tangu watu wanalima mpaka wanapanda mahindi? Serikali iangalie tena kiwango cha elimu kwa kada hizi kuna watu uwezo wao akili baadae nguvu kwanza.
 
Kwani hayo mahindi ni Miti kwamba kukomaa mpaka kuvunwa utachukua miaka zaidi ya kumi..TANAPA kumbe nayo imeajiri mazezeta sana ilo jambo dogo mnatumia nguvu badala ya akili..aibu sana hii.
 
Kwani hayo mahindi ni Miti kwamba kukomaa mpaka kuvunwa utachukua miaka zaidi ya kumi..TANAPA kumbe nayo imeajiri mazezeta sana ilo jambo dogo mnatumia nguvu badala ya akili..aibu sana hii.

Hili ndio tatizo letu kubwa, akili inatumika wakati wa kula tu mambo kama hayo akili zipo likizo matumizi ya nguvu ndio wanaona suluhisho, wanasheria wawasaidie hawa wanyonge ili hawa askari mbuzi watie adabu, aibu mwenzao wa kada hizo aliyoipata mwanza hawajifunzi tu?
 
Magufuli ana kazi ya kumalizia vimeo vya Mkwere. Itachukua zaidi ya mwaka kuweka mambo sawa.

Hawa watu wamezoea kufanya kazi kwa kudekezwa kwan kama Rais na PM walikuwa hawawajali wanyonge unafikiri haya majeshi yangewaheshim? Mahindi yanakaa miez 3 had 4 yanavunwa kwann kutumia nguvu nyingi kuliko akili! it is shame on zem! JPM piga chini hawa wana vyeti feki.
 
Du mazao kama mshindi sio ya kudumu ilikua ni kuwapa taarifa kuwa wakivuna ndo mwisho wa kilimo eneo hilo
 
Back
Top Bottom