Recent content by Man peace

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa TICD wapya wamekuwa wakikosa makazi huku watumishi wa zamani wakikaa kwa zaidi ya miaka 15 kwenye nyumba hizo

    Naomba kuwasilisha ombi kwa uongozi wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) kuhusu suala la makazi kwa watumishi, hususan wale walioajiriwa hivi karibuni. Kumekuwa na changamoto ambapo baadhi ya watumishi wameendelea kuishi katika nyumba za taasisi kwa muda mrefu, hata zaidi ya miaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka soko liitwe soko mjinga linakuwa na sifa gani

    Ukifika chuo cha mifugo hapa tengeru Arusha utalikuta soko mjinga
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Tengeru Sokoni kuelekea chuo cha TICD na Chuo cha Mifugo ni mbaya sana

    Jamii, hii Barabara inayotoka Tengeru sokoni kuelekea Chuo cha maendeleo ya jamii na Chuo cha mifugo (LITA) Tengeru NI mbaya Sana, viongozi hebu tupieni jicho hii barabara inatesa Sana Kwa kweli.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Lucas mwashambwa naomba namba YAKO pls.
  5. M

    JamiiForums Tanzania English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

    Wazazi, mnashirikiana na shule kuwatesa watoto. Vitoto vyenyewe bado vidogo, miaka 11-13, vinaamshwa saa 10 au 11 alfajiri kuwahi shule. Wanawahi nini exactly? Na bado watakaa shule mpaka saa 12 kisa remedials, kurudi nyumbani saa 1 jioni.. mtoto anafika hoi, hajiwezi, hajacheza, hajafanya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni kero

    Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali. Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mzigo wa kukimbiwa 2025!

    Tubadilike
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77 na Token haziingii

    Bonyeza zero then namba za Mita tena bonyeza zero ukifuatia namba za Mita afu malizia ok.itakubali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji ni jeshi au idara ya kawaida?

    Na jeshi la uhifadhi je?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

    Kwenye app Ni free
  11. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Kaka mbona KILA andiko lazima uandike address mwishoni.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna anayetumia GB WhatsApp anipe mrejesho?

    Ni Mimi Tu nimepatwa na madhila ya GB watsap au nanyi wenzangu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Muda wako ndio kipimo cha maisha yako

    Asante Kwa meseji nzuri.
Back
Top Bottom