hi jf, nko na rafk yngu wa karibu chuo tumemaliza mwaka jana, kinachomsumbua huyu rafk yngu ni kwamba ana girlfrnd wake(mschna yuko chuo 2nd yr) huyo mschana anampnda mshikkaj kupitiliza, she buys alot of thngs 4 him, coz home kwao mambo xafi bt mshikaj anasema ana sura mbaya atamtambulishaje...