Mwache aendelee kuhongwa, watatafuna kabang. Uzuri bila pesa hauna mana. Mi ni bonge la handsome sasa enz hzo niko chuo nlikua sina kitu wakawaga wananiangalia tu wanasepa, yani ukipita mademu wanakuangalia mara 100 ila papuchi hupati na chupi hawavui. Chukua mwenye hela, mi mbona mke wangu nimemzid uzuri[/QUOTE]
Dah kwa hiyo km wewe kwa mkeo ni mzuri unajiitaje handsome than your wife au beautiful? Just joke dont take it serious ila nimeipenda hiii.
Yaani eti xaxa ,xcul mi najibugi tu andika kwa ufasaha
ili ueleweke!!!!!!
Honestly uandishi wa namna hiyo na mie unaniboaga sana!!!!!!!
Naomba kuongezea kwa ma beloved lara 1,mapenzi sio pesa anaweza akajitutumua akakimbilia kwa huyo mwenye sura mbaya halafu akaja kutamani kulia kila iitwapo asubuhi huko mbele ya safari,manake atakuwa kila akienda kuswaki na kujiangalia kwenye kioo cha cha kuswakia hapo karibu na jacuzzi hataamini kama ni yeye ndo katoka kulala na mwanamke aliyemuacha kitandani,na atataka arewind maisha na kukuta maisha hayawezi kurewindiwa kama video tapesITS NEVER ABOUT OTHER PEOPLE!!! ITS ALWAYS ABOUT YOU!!!!!!!!!!!!! Swala sio huyo msichana wa chuo au huyo wa kitaa wanampenda, swala ni JE YEYE ANAMPENDA NANI!????????? Every body for himself, but God for us all!!!!!!!
Alafu kwani kumlia mtu pesa lazima uwe na uhusiano nae? You kids are such ARMATURES !!!!!!! Mi mwanaume anaeyumbishwa na WOGA WA KIUCHUMI naungana na Shilole ni Dume Dada tu huyo!
Zorrander kwa kweli ni ulimbukeni tuSiku zote niliamini haya maneno yanaandikwa vibaya ili kujarib kuyafupisha, lkn cha ajb najiuliza hivi ukiandika "xaxa" badala ya "sasa" ina maana yoyote? huu nao ni ulimbukeni
hi jf, nko na rafk yngu wa karibu chuo tumemaliza mwaka jana, kinachomsumbua huyu rafk yngu ni kwamba ana girlfrnd wake(mschna yuko chuo 2nd yr) huyo mschana anampnda mshikkaj kupitiliza, she buys alot of thngs 4 him, coz home kwao mambo xafi bt mshikaj anasema ana sura mbaya atamtambulishaje kwa wazazi na rafk zake, mshkaj anataka kudate na mschana mwngne mrembo bt 4m4 failure na huyo mschana hana future navomwona, jamaa ananiomba ushauri eti aende kwa yule mwenye sura nzuri au kwa yule wa chuo,
Naomba tusaidiane kumpa ushauri( he is in dilema).
ITS NEVER ABOUT OTHER PEOPLE!!! ITS ALWAYS ABOUT YOU!!!!!!!!!!!!! Swala sio huyo msichana wa chuo au huyo wa kitaa wanampenda, swala ni JE YEYE ANAMPENDA NANI!????????? Every body for himself, but God for us all!!!!!!!
Alafu kwani kumlia mtu pesa lazima uwe na uhusiano nae? You kids are such ARMATURES !!!!!!! Mi mwanaume anaeyumbishwa na WOGA WA KIUCHUMI naungana na Shilole ni Dume Dada tu huyo!