Recent content by MAN OF CHANGES

  1. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    kwa hili, namuunga mkono mh. Makonda na ninamuombea kwa Mungu ampe Neema ya ulinzi kwake. ktk kipindi hichi anamuhitai sana Mungu.
  2. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Sidhani kama hongera uliyotoa imetoka moyoni........
  3. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwl wa sec wa kubadilishana nae. Aliyepo moshi mjini/vijijini anayetaka kuja mwanga.Nitafute kwa dickymuga@gmail.com
  4. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
  5. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Kwa asilimia mia moja 100% haya maneno kaandika josephine mushumbusi.. Soma neno kwa neno alafu jaribu kuyatengenezea sauti..utagundua yaneandikwa na mwanamke.
  6. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri katika biashara ya mchele

    Habari ya kwenu wanajukwaa. Naomba uzoefu kwa aliyewahi au anayefanya biashara ya mchele wa jumla kutoka mbeya na shinyanga au Morogoro kupeleka mikoani hasa kilimanjaro. Nahitaji kufahamu 1.upatikanaji wa bidhaa hiyo ktk mikoa hiyo. 2. Gharama za ununuzi kwa kilo 3. Gharama za usafiri. Kwa kuwa...
  7. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Nakubaliana nawe kwa asilimia zote.ingekuwa plan nzuri ambayo ingesaidia ukawa kuongeza viti vya ubunge japo kwa uraisi kupata ni ngumu. Lkn umeshafikiria adhari za kumkosa Lissu bungeni?
  8. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Loading...
  9. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Kwa mbinu hizi, Lowassa ni mafuriko yasiyozuilika kwa mikono!

    Mfumo unaokaribia kufa huwa unafanya mambo ya kujiua wenyewe. Ccm kwisha
  10. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    Hao unaowaita wanasiasa mahiri wametusaidia nini kutokana na umahiri wao ktk siasa.hatuhitaji mbwembwe za kisiasa, sisi tunahitaji rais wa nchi. Ilipo tanzania ni kwa sababu ya kufanya mambo ya kimsingi kuwa siasa
  11. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Kinachojiri: Kongamano la BAWACHA Ubungo, Dar

    samahani wakuu, naomba briefing ya viwango vipya vya mafao ya wabunge. anayefahamu vya mwanzo na vinavyopendekezwa anisaidie elimu hiyo tafadhali.
  12. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa Rombo .......................

    Hahahahahahaha. ........eti ndorobo. ila huyo mzee na dereva ni wabunifu sana
  13. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    ukiisema serikali kwa namna yoyote ile basi ndio mwanzo wa kuwindwa na kupangiwa njama zozote zile na hata kuukiwa. tukumbuke ya mchg. Munishi aliyrkimbilia Kenya.pole Gwajima
  14. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Kinana yupo Moshi Mjini kwa ziara ya Kichama

    mbona hauripoti unachofuatilia na kuona???? Nimempigia jamaa ninayetumiaga bodaboda yake akaniambia leo wapo kwenye kazi maalum ya ccm sababu wamepewa 10elfu na petrol ili wazunguke na msafara wa kayibu mkuu. walipofika Moshi mjini kata ya majengo viongozi wa ccm wilaya wakawapeleka kukagua...
  15. MAN OF CHANGES

    JamiiForums Tanzania Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    Asante mkuu kwa kunisaidia kuuliza. nimeomba msaada wa swala hili tangu January sasa ni dec sijajibiwa. wachangiaji wote wanaongea yao.
Back
Top Bottom