Mnalaumu ngazi za juu wakati ngazi za chini kabisa watu hawasemi ukweli alafu ni kawaida tuu. Mahusiano yamejaa uongo, familia zimejaa uongo, kazini uongoo, biashara uongo Hadi wizi, Kila sekta uongo Hadi kwenye Imani, uongo ni pie everywhere. Alafu mnataka wakubwa au viongozi waseme ukweli...
Hivi mnajua kuwa Kenya Ina katiba mpya lakini maisha Yao ni close to worst?
Katiba sidhani kama itasaidia kuondoa tatizo.
sanasana itawapa watu uhuru WA kuandamana ovyo, na au mbinu mpya za mabepari kufanya Yao..zaidi...na zaidi..na zaidi..
Natamani tujitafakari wote taifa zima kabla ya hata...
Na hata wanaolaumu dini na Imani nawashangaa kwa sababu tunahubiriwa Kila siku tusitende dhambi tunazopenda kufanya lakini hatusikii..sanasana zinatunogea balaa..
Tumeshafkia kipindi kuwa tunachagua madhebebu na nyumba za ibada ambazo tunataka kusikia mahubiri fulanifulani pekee na sio ukweli...
Haya yote wanapaswa kujifunza Gen Z wote, Millennials na vizazi vingine vyote vilivyopo nchini na vinavyokuja.
Umeelezea Kila kitu kuhusu uzalendo Ina a simpler, clearer and a smarter way possible.
Hakuna kumlaumu mtu, ila tupo kwenye changamoto kubwa sana, na tukizembea zaidi kushabikia...
Sikuhitaji maelezo ya mtoa post, ila nashukuri, at least yamenipa kuelewa kwa ufupi juu ya jamii yangu.
The thing is, title na kinachoongelewa ndani sidhani kama vime correlate....au labda kama unaendelea kutoa maandiko mwengine ya ku support hoja Yako.
Mambo yenu yaa ukabila mtajuana wenyewe...
Simtetei, ila nadhani anaandikia nafasi ya kwanza umoja na anaipendelea katika kufikidha ujumbe, na surprisingly, amefanya vizuri, binafsi nimemuelewa.
Sijajua kama anaandikaga vitabu, means atakuwa a bit more intellectual. Sipendeleagi sana kusoma vitabu, ila nadhani nitatafuta ili na mie...
Broo, hapa kuna mengi kuliko tunavyoelewa.
Kristo amefanya vitu ambavyo ni vigumu kufanyika kwa kiumbe chochote kile duniani...na ndio maana anapata special treat.
Kwa uelewa wa Neno la Mungu, linatakiwa kuwa na maarifa ya kungamua. Mfano umasikini umefanyika kwa mwanadamu kama laana.
So...
Unajua unaowaita atheist wa kichina nyuma yake kuna nani?
Unajua maana ya dragon wanaemtumia kwenye tamaduni zao?
Nenda kamsome kwanza dragon wanaemtumia kwa undani, chimba zaidi ujue foundation yake na jinsi alivyossmbaa kisha kasome Ayubu 41 yote...then linganisha...uone utapata nini...
Ukijadili haya, usisahau kuwa kuna suala la dimensions, na kuna mengine tuu kuyaelewa ni shughuli kwa sababu yanatuzidi.
Mpaka sasa mwanadamu aliepo duniani hawezi kufahamu yote ya 4th dimension, as well as higher ones...so ni ngumu kujua kuhusu origin.
Zaidi zaidi tunadanganyana tuu
Asa uhatakiwa kutoa hoja, hata ya maandiko yako unayoyaamini...na sio kusema hearsays na speculations...mbona mwenzio amefafanua kea hoja za iamni yake na tumemsoma vizuri tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.