Recent content by Man Edy

  1. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata karoti kwa jumla

    asante..ila kwa sasa sichukui tena
  2. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata karoti kwa jumla

    Wasaalam, Kwa mbaye ana mzigo wa karoti naomba ataje kwa gunia anauzaje na wapi alipo mimi nipo Dar, kama muuzaji/mkulima atapatikana Arusha itapendeza sana
  3. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Natafuta softcopy za past papers za Advanced Mathematics

    wadau nahitaji msaada wenu mtihani wowote ule wa Advanced Math anisaidie
  4. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Natafuta softcopy za past papers za Advanced Mathematics

    Asante ila mimi nina shida na past paper zozote zile (softcopy)
  5. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Natafuta softcopy za past papers za Advanced Mathematics

    Habarini wakuu, Naomba msaada wa mitihani ya Hesabu Kwa kidato cha Tano na Sita Mwenye nayo naomba anitumie kupitia anuani myusuph2@gmail.com
  6. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta wako slow sana, mzigo umefika toka tarehe 3 Mei mpaka sasa sijaupata

    nami nina tatizo kama lako wangu umefika posta kuu tarehe 4 mwezi huu..nasubiria tu
  7. Man Edy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia

    lazima warejee kundini baada ya machaguo mengi na wahenga wakasema "marejeo ngamani"
  8. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Hii utafanya kwa ngapi Bro
  9. Man Edy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya jinsia itolewe Mtwara, wanawake ni warahisi sana

    Wema hauozi,ubaya hausahauliki na mlipaji hafi..jinsi unavyowafanyia ndivyo utakavyofanyiwa
  10. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Soko la kuku aina ya kuchi

    unetusaidia picha na bei ili tujipime
  11. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

    Naomba mchanganuo wa machine za icecream
  12. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu upatikanaji wa mashamba ya kununa Morogoro

    naomba namba yako pm
  13. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    mkuu waweza niunganisha na mnunuz wa jumla wa mchele
  14. Man Edy

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    unaweza kunisaidia mchanganuo wa biashara kwa 4m
Back
Top Bottom