Pole sana aisee. Niliangaika sana na binti yangu alipokuwa mdogo kisa hayo mafua ya allergy.
Kila sehemu naambiwa vitu tofauti had nachoka. Ni mpaka pale nilipoamua kutafuta mwenyewe chanzo. Nikaanza kuandika kila alichotumia, alichokula nk kwa siku. Nikawa namuachisha kitu kimojakimoja...
🙄🙄 eeh! Mimi hapo ulipoandika "baby usimmake crazy " nilikuwaga naimba "baby una m-drive crazy "🤣🤣 tena naimba kwa sauti.
Huu uzi najichekea mwenyewe. Uko juu nimekutana na ring on it mi nilikuwa najiimbia "linganishi"🤣🤣🤣🤣🤣
Wallah nimejifunza, situkuja kuimba sauti tena. Hahahaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.