Recent content by mamso

  1. mamso

    Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

    Napatana sana na watoto wa ba mkubwa wangu sana yaani unaweza hisi tumezaliwa pamoja kuliko ndugu upande wa mama ni ile hy ya jujuu sana
  2. mamso

    Mwanangu wa siku mbili amefariki dunia, alichomwa sindano baada ya joto kupanda

    Pole sana. Navyojua mm hupewa panadol ile anaekewa huko nyuma ya kutuliza joto then ndio wampime nini shida
  3. mamso

    Mbwa wa shambani

    German shepherd cross Dume 2 years old Price 250,000 Nipo Dar. Pia kwa mahitaji ya mbwa wa ulinzi wa ndani petty dogs wasiliana nami. Dm Karibun
  4. mamso

    Maisha ninayoishi na wazazi wangu yananikatisha tamaa ya kuja kuoa huko mbeleni

    Hii kitu wazazi hupuuzia ila huwa ina effect sana. Mm toka na akili zangu miaka 5 naona mama anapigwa tena sana kulia kusononeka nakutamani kuondoka na mama. Ukubwani nikapata baba mtoto ambae yule angenioa ila sikuweza akili imevurugika kuwa nikimheshimu huyu na kumchukulia poa ntapigwa bora...
  5. mamso

    Natafauta mwenza (mwanaume)

    Am a Single mom with a 6 years old daughter, a proudly mom, Na miaka 30 naishi dar, business woman. Ni mnene kweli bonge la mama, mweusi na sio mfupi sio mrefu, mchapa kazi, nimesoma sio haba. Natafuta matured man, awe na kazi au biashara, not bellow 30yrs na asizidi 50yrs, kabila lolote...
  6. mamso

    Ukijua mke wako aliwahi toa ujauzito utafanyaje?

    Ila this wat you get maana hamtaki single mom kwa kuwa wana watoto ambao si wenu now kilichobaki ndio hicho, mtawaoa hao wasiokuwa na watoto bila kujua nyuma ya pazia ni mama wa marehemu kadhaa. Ndio mkeo no kuachana pambana nae tu hadi kieleweke
  7. mamso

    Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

    Una lazimisha baba apende chama chako sre u insane???
  8. mamso

    Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

    Asilimia kubwa now wadada wana watoto ukipata asiyekuwa nae muulize aliwahi chopoa
  9. mamso

    Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

    Bora mmejisema unakuta dume zima njiani oh dada ake mie "Nigga u serious" nachefuka hatari, dume zima njia nzima ananukia usoni kapaka flani miguuni kapaka lotion akiweka na spray hatari, then tabia wakicheka mnabinua midomo haha. Nyingine maumbile yenu mnatakiwa mvae suruali ziko free now...
  10. mamso

    Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

    Thats true bongo online dating all they think is sex sex. Hawana jipya wa bongo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mamso

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Ulipata ambae alikuwa anampenda bado ila kutana na anayemchukia huyo mbuzi ndio uta enjoy Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mamso

    Nataka nianze kuishi ghetto

    Njoo makongo juu chumba na sebule ni 150,000×6 unapata choo bafu chako. Nyumba ina vyumba 5 na vyoo 5. Maji umeme upo usalama upo wa kutosha ni dakika 3 hadi kituoni. Magari ya huku ni makumbusho/makongo juu. Nauli 500 bajaji 1000. Makongo ipo karibia na choo cha ardhi na mlimani city mm sio...
  13. mamso

    Hivi inakuwaje kwenye kila familia kuna mtu mmoja anayesumbua sana?

    [emoji23] nikajua ni sisi tu. Nina bro yaani toka naanza form 1 hadi nafika form 4, nikaenda somea certificate hadi nikamaliza diploma 2 ye hajamaliza degree. Na chuo cha ili mradi unalipa utasoma hadi upate. Na hakupata maana chuo nacho kilimchoka kila siku haingii class pombe demu. Mtaani...
  14. mamso

    Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

    I dont support Lesbian ila some how nawaelewa maana wanateseka na wanaume sana. Then asilimia kubwa ya lesbian wapo kwenye ndoa, wanalalamika mume msaliti. Hatulii nyumbani ukipiga bao dakika 3 hoi maana nje umepewa. Now wanaelekea huko. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mamso

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Tunapenda wababa wawepo kwenye maisha yao tatizo unamwambia mtu njoo spend time na mwanao hataki, anasema akifika 18yrs ntamtafuta. We do wat we can do. Then kuhusu ushoga sio mama kumharibu mtoto ni wacheche wazazi huchangia. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom