Recent content by mams

  1. M

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Kaka, unajitahidi kuchanganya habari hapa! Mara unasema alipewa kama hisani mara zikaja share za 75-25%! Kwa taarifa yako kuna orodha ndefu ya watu waliopewa nyumba kwa hiyo hiyo hisani toka awamu ya kwanza na ya pili kwa mfano Bibi Titi na wengine kibao, hadi leo hawana hiyo share ya 75-25%...
  2. M

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Kumbuka mwenyekiti wetu alikuwa mpangaji kama wapangaji wengine na alipaswa kulipa kodi. Hakufanya hivyo kwa kisingizio cha kwamba ni mbia hata pasipo kuendeleza jengo ili aingie kwenye ubia. Ni majengo mangapi yamebomolewa hapa mjini kama ilivyo kwa Billicanas, what is so special mpaka awe na...
  3. M

    DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    RC Makonda aende kuitikia wito, asomewe mashtaka dhidi yake, akiri na aombe msamaha ili kuepusha mgongano wa mihimili yetu mitatu yaani Bunge, Mahakama na Rais pamoja na serikali yake. Baada ya hapo aendelee na kazi yake ya kutokomeza madawa ya kulevya!
  4. M

    Majambazi wawili wauawa na polisi Mikocheni karibu na Feza sekondari

    Ahsante kwa taarifa Andrew. Watu hao wanao ku challenge na kama ni waandishi wakatafute magazeti. Na wanapoandika we ni kilaza wasamehe tu!
  5. M

    Yaliyojiri katika Mkutano wa Kubenea na waandishi wa habari Kilimanjaro hoteli

    Tuendelee kuliombea taifa ili sisi sote tujadili hoja na siyo itikadi ya vyama vyetu. Tukubali kwamba hoja nzuri inaweza kutoka chama chochote na kwa mtu yeyote. Hii yote imesababishwa na kuwakabidhi maisha yetu wanasiasa! Wanasiasa enzi za Mwl. Nyerere hawakuwa wafanyabiashara, lakini kwa sasa...
  6. M

    The rise and fall and re-rise of Christopher ole Sendeka

    Tusubiri, Muhongo alimalizia kwa kusema Tulidhani labda tunayebishana naye ni Genious(akimaanisha Ole Sendeka)! Na hapa nina matokeo yake ya F iv. Amezuiiwa na spika asisome! Pia ametoa DVD inayoelezea/onyesha ushiriki wa Ole Sendeka ktk hujuma na kushauri chama (ccm) kama kuna haja ya ccm...
  7. M

    Muhimu: Kulinda ajira za wazawa Tanzania...

    Nape, hawa ni wahamiaji haramu katika soko letu la ajira ya ndani na kutufanya tukose ajira ndani ya nchi yetu. Kama alivyo amuru JK kule Bukoba kwamba waondoke haraka iwezekanavyo vivyo hivyo kwa hawa! Pia shughulikieni suala la kodi katika mishahara yetu!
  8. M

    ...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

    Ili ahadi ionekane ni ya kitapeli ni pale itakaposhindwa kutekelezwa na yule aliyeahidi. Chadema wanatoa ahadi za kutekelezwa endapo wataingia madarakani na hawajapata hiyo nafasi ya kuingia madaarakani ili waitekeleze, sasa iweje uziite ni za kitapeli? Je zile ahadi walizo ahidi waliopo...
  9. M

    Uhamisho wa kubadilishana.

    Anayetaka kuhama kutoka DAR ES SALAAM kwenda Kibaha-Pwani. Mie niko Kibaha nataka kurudi Kinondoni-Dar. Ni pm au kwa namba 0713 335094
  10. M

    Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Huyu bwana kweli kawa mtani wenu, mama wa UWT anaingieje hapa? Nimecheka hadi basi!
Back
Top Bottom