Recent content by MAMESHO

  1. MAMESHO

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Hosea 4:6
  2. MAMESHO

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Nenda kausome huo mstari tena. Sio watu wanaangamia. Ni watu wanaangamizwa.
  3. MAMESHO

    Naomba kujua Tanzania hapa Kuna viwanda vya kusindika kuku?

    Haruna kuku za kutosha mkuu. Tutasindikaje kuku
  4. MAMESHO

    Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

    Nimekaa paleeee, kamala hatoboi. Trump anashinda.
  5. MAMESHO

    Huenda kuanzia January 2025 Dunia ikaongozwa na Rais wa Kike Kamala Harris aliyeolewa na Myahudi!

    Mapema sana Trump anashinda. Japokuwa kamala ana piga kampeni bomba. Trump nyuma yake kuna watu wenye akili sana na wenye pesa Mingi, atashinda.
  6. MAMESHO

    Naomba kupata elimu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Kabla hatujafika kwenye chamgamoto Jambo la kwanza ikiwa utawafuga kibiashara. Hakikisha CHAKULA cha hao kuku kipo na kiwe cha bei nzuri au uzalishe wewe mwenyewe. Chakula ni 70%ya gharama na lishe duni ni chanzo cha magonjwa na tabia mbaya kama kudonoana, kuvimba macho, etc Weka stock ya...
  7. MAMESHO

    Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

    Mimi pia niko UTT hiyo 10,000 mwambie ni baada ya muda gani anapata hiyo faida.
  8. MAMESHO

    Naishi Arusha nataka kulima Tanga, naomba ushauri

    Unaishi arusha lima arusha. Uza shamba la tanga nunua lingine arusha ambapo utaweza kufika kwa wakati na kulisimamia. Pia nunua ambalo liko karibu na chanzo cha maji. Mwezi ni muda mrefu kutembelea. Uwe na uwezo wa kufika kwa haraka wakati wowote na usiweke ratiba maalumu.
  9. MAMESHO

    Giant Bamboo, ni kubwa mno size pungufu ya nguzo za umeme na size sawa kabisa na nguzo za TTCL enzi zile.

    Samahani kama una picha zaidi tuweze kuitambua au kama umefanikiwa kupata jina la hiyo mbegu.
  10. MAMESHO

    SoC04 The Vision for Tanzania: Building a Sustainable Future

    Aisee, you have it all. 10/10.
  11. MAMESHO

    SoC04 Vision for a Thriving Future in Tanzania

    Wondeful work. Killer intro.
  12. MAMESHO

    SoC04 The Tanzania We Want: An Innovative Vision for Infrastructure

    Smart cities and green spaces. Naona kkoo wanavunja tu na kuinua.
Back
Top Bottom