SWOT analysis unafanya baada ya kuijua biashara yenyewe .sasa mtu ndo kwnza katoa taarifa lakin wapo wahuni wanadiscredit ..we dont judge books by their covers ..we read the content first and understand!
Wakiweza kuandika walau aya moja mfano wa aya za Quran basi nahic dunia itakua katika sekunde yake y mwisho kabisa!katika sala zako Muombe Muumba wako akupe fursa hata moja y kuijua Quran n ubora wake utajua kilipo toka
Huyo asiyejua kusoma ndo kiumbe zaidi kuwahi kutokea katika huu ulimwengu..w uoni ajabu hajui kusoma wala kuandika lakin aliyofundisha bado yanaendelea kua vitendawili kW wenye akili?
Kuna watu wanaakili z kuvukia Barabara ! Nahic huwezi kosa kwenye hilo kundi # pasco, tena kama huna cha kuandika usiwe unajaza watu upumbavu n utumbo wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.