Recent content by mambawengi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais inavyotekelezwa mtaani; hii michango ya shule ipo?

    Toka hapo tulikuwa tunachangia,sasa toka mkulu aliposema tusichange tukatulia sasa ajabu wananiita eti nimekaidi kutoa mchango
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais inavyotekelezwa mtaani; hii michango ya shule ipo?

    Lazima aisee kwa hali hii?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais inavyotekelezwa mtaani; hii michango ya shule ipo?

    Cha ajabu sijawahi letewa taarifa km kuna mchango
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais inavyotekelezwa mtaani; hii michango ya shule ipo?

    Nafika nyumbani nakutana na hii karatasi ya wito najiuliza hii michango ya shule ipo au haipo?kwa nini kusiwe na kauli moja? Kama mjini kuna haya je vijijini? Nawaza kwa sauti tu!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Amos Makala karibu Mbeya

    Kwanza hongera kwa kuwemo katika awamu hii ya tano, lakini kumbuka unaingia mkoa uliowashinda wengi akiwemo kandoro Ila naomba katika kazi zako usisahau kumulika wilaya ya mbeya vijijni bonde la songwe kitongoji cha kaloleni. Mh,tunaporwa ardhi na mkuu wa wilaya akishirikiana na watendaji wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya Suzuki Carry (Kirikuu) unahitajika

    weka bei,ni hijet?
  7. M

    JamiiForums Tanzania pata samani used

  8. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO): Ufafanuzi wa taarifa kuwa hatununui nguzo nchini bali...

    tunajua tanesco ni branch ya ccm safari hii povu litawatoka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Mpaka sasa hao mawazi sijui watafanya kazi gani.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Injinia Mramba wa TANESCO, ajira yako imeshikiliwa na uzi mwembamba ajabu!

    kama kuna muhimu kwangu ni siku magufuri au majariwa akienda tanesco
  11. M

    JamiiForums Tanzania Niuzie kitanda cha 5x6

    upo wapi km dar nipigie0763150550 utapata vitu vingi maana nimehama mkoa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika!

    Nipigie 0715150550 siyo dalali ni changu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika haraka!

    nichek 0763150550 nikuachie nyumba kamili na eneneo kubwa tena gari linafika mlangoni eneo la kivule
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

  15. M

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba Kivule - Dar es salaam

    Ipo kivule wilaya ya ilala ina vyumba viwili kimoja master,jiko,dinning,sitting,public toilet pia ina eneo kubwa la kujenga nyumba kubwa na flem ni yangu ndiyo naishi sh m28
Back
Top Bottom