Recent content by Mambaku

  1. M

    Mtikisiko katika mabenki: Zaidi ya Bilioni 120 wanazo watumishi hewa na mdhamini ni serikali

    Unataka kusema mtu akifukuzwa kazi na along chukua huo mkopo serikali ndio italipa. Unajua masuala ya mkopo kiongozi. Guarantor hawezi kulipa mkopo kama mkopaji yupo
  2. M

    Prof. Kabudi kuanza na Katiba Mpya

    Kusoma si unajua kaka tafuta ilani ya ccm ujionee mwenyewe
  3. M

    Tahadhari: Fedha za umma zilizopelekwa BOT zinafanya kazi gani! Serikali inajichotea tu kuna kiza..

    Kama huelewi kusoma na kufuatilia si afadhali ungefanya katafiti kadogo kiongozi. Rais hajalazimisha hizo pesa kupelekwa bot Bali ni sheria iliyotungwa na bunge lako ndio inatoa hayo matakwa. Na sheria imeanisha namna ya kutoa hiyo hela. Sasa sijui umefuatilia hilo ama umeamua kuandika tu.
  4. M

    Waziri Prof. Ndalichako alimsahau RC Makonda au alimaanisha nini

    Wabongo sisi no wajinga sana tunapenda umbeaumbea bila hata kufanya katafiti kidogo na kuchangia jambo kwa mapana yake. Tumezoea kupindisha maneno kwa maslahi binafsi. Hapo ndio unajua elimu no jambo la msingi na ndio maana biblia inasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Mtoa maada weka...
  5. M

    Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    Kilaza ni kilaza hata uwezo wake wa kufiri huwa hivyo. Mradi huu unajengwa kwa hela ya ndani iliyotengwa bajeti ya 2016/2017. Sasa jitu linakuja na kusema wahisani wametoka wapi. Akili zetu tumezifungia wapi vijana wa kibongo
  6. M

    Zitto: Waliomsindikiza RC Makonda ni walinzi maalum, kibali hutolewa na Rais au DG TISS

    Kumbe zito ameanza kupungua uwezo wa kufanya research akiambiwa tu anaamini bila kufuatilia. Kweli vijana wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
  7. M

    Kupungua mizigo bandarini: Wamiliki waondoa malori 11,500 barabarani

    Sisi tunaimarisha treni wewe unazungumzia malori
  8. M

    Awamu ya 5 , kama ni lazima propaganda zenu zitolewe na RC basi tafuteni RC mwingine , huyu kaisha.

    Tatizo lako ni uelewa mdogo. Kuelezea utekelezaji wa shughuli za kimkoa ni wajibu kwa kiongozi makini. Wewe ukiamini hana ushawishi umepimaje. Nenda kafanye research uje na matokeo yakielezea huo upuuzi. No research no right to conclude from your opinion.
  9. M

    Rais Magufuli kwa hili uliloongea kwa Dangote nakuomba sana uwe unachagua maneno!

    Sijui uliandika na wewe uonekane umeandika ama umefanya uchambuzi wa kutosha. Kukurupuka kubaya. Ungekaa chini ukafuatilia kinachochelewesha hadi sasa gesi isifike kiwandani ni nini na pili ungefuatilia kinachosababisha makaa ya mawe yasifike kiwandani kwa wakati ni mini na pia kwa suala LA...
  10. M

    Rais Dr Magufuli: Hata Ikulu wasipolipa Bili ya Umeme TANESCO ruksa kukata umeme

    Unazani taasisi zote zinaluku kaka. Fanya katafiti kadogo tu cha msingi ni kulipa bili ya umeme
  11. M

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Ungekuwa na akili kweli mngemleta mwenye vyeti aje aseme. Na makonda hataongelea hilo kwa sasa ana mambo mengi ya kuyafanya. Ni ujinga kuongea bila kufanya research oh hana cheti kati ya nyie na wanaofanya uhakiki wa nani wa kuteuliwa nani mwenye taarifa sahihi. Makonda kaa kimya waendelee...
  12. M

    TBC imekuwa shirika la CCM badala ya Umma inakera sana

    Vijana wangu wanaqngamia kwa kukosa maarifa kweli. Hivi kwa akili yako unashindwa kutofautisha majukumu ya kitaifa na kisiasa. Du hizi shule tulizosoma kuna shida. Ila tutafika mtakapo endelea kuelimishwa
  13. M

    Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Mi nilizani watanzania ni wachambuzi kidogo kumbe tuna matatizo ya akili. Hivi ngwajima alikuwa wapi muda wote asiseme yote kisa ametajwa katika unga. Pia kama alitumia cheti cha mtu huyo MTU mbona hajaletwa aseme. Pia unajiuliza kama hana vyeti kati ya sisi tunaoongea na system iliyofanya...
Back
Top Bottom