Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Habari wadau!
Hii kauli ya rais ya kuamulu fedha za mashirika ya umma kuhifadhiwa BOT ni hatari sana.
Kuna mifuko ya hifadhi ya jamii kama NSSF, NHIF, PSPF inaeleka kufa na kushindwa kutoa huduma kwa walengwa.
Kwa sasa serikali inajichotea fedha BOT na kuweka inakotaka yenyewe na michango ya mifuko mingi haiwasilishwi kwa mujibu wa sheria kwa lugha nyingine serikali inazitumia fedha hizo.
Kwa kuwa huwa hakuna report maalum ya kuonyesha kwa kiasi gabi serikali imejikopesha fedha hizo na namna ya urejeshaji wake kuna hatari mashirika mengi yakawa na fugure kwenye makaratasi ila physical cash haipo.
Sasa kwa kuwa mda huu tunacheka na nyani baadae tutakula mabua kama sera hizi za kutopokea mafao hadi utimize miaka 55 ndo dalili ya mvua hiyo.