Recent content by mamaWILLE

  1. mamaWILLE

    Hapa sitapeliwi kweli??

    Matapelii hayooo. Achanaa naoo kabisa. Usithubutuu kutuma pesa yako.
  2. mamaWILLE

    Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    "Katika mihimili 3 kuna mmoja umezama zaidi ya mingineee" Ndio huu unamsulubisha maxence, Na utazidii kutubana sana huu muhimili uliozama zaidi ya mingine
  3. mamaWILLE

    Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Haki iko wapii? #freemaxencemelo
  4. mamaWILLE

    Radio One wamziba Lowassa alipoishutumu huu utawala kwa Udikteta wakati wa BBC Swahili

    Ni kweliii hata Mimi nilishangaaa kwa hasira nilichange fasta station kutoka radio one na kwenda Radio free. Sasa nimeshindwaa kuwaelewa wanachoficha ni nini?
  5. mamaWILLE

    CAG akaidi agizo la Rais. Aenda Nairobi, Kenya bila kibali

    Sio majunguu ndio msimamo wa mkuu wa inchi
  6. mamaWILLE

    CAG akaidi agizo la Rais. Aenda Nairobi, Kenya bila kibali

    Kama hana kibali cha Pombe magufuli ajiandaeee
  7. mamaWILLE

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Ubabe wa mkuu huyu wa wilaya utamfikishaa pabaya
  8. mamaWILLE

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Afadhari kigwangala umetumbua kijibu hichoo
  9. mamaWILLE

    Kuna kila dalili za Uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuahirishwa

    miaka 5 basiiii. zaidi ya hapo ulafiii wa madarakaa
  10. mamaWILLE

    Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Lowasa endeleaa kuwazarau. Tuone kama wanawezaa kukufukuzaa.
  11. mamaWILLE

    Kanisa la Askofu Gwajima liondolewe haraka viwanja vya Serikali Kawe

    napenda viongozi kama gwajima and kakobee hakuna kupepesa wala kumumunyaa maneno
  12. mamaWILLE

    Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    nenda huko huko jimboni kwako ulikomchagua zitto utazikuta Card
Back
Top Bottom