Nauza nyumba yangu iliyopo mkoani Morogoro. Mimi ndio mmiliki wa hiyo nyumba.
Ukubwa wa kiwanja ni 1500qm.
Nyumba ni ya ghorofa.
Vyumba vitano (vinne ni master bedroom)
Dinning na kitchen ni open plan
Sitting room
Public toilet.
Kuna garage na chumba vimeunganishawa inaweza kuwa kama servant...
Natumaini wote wazima na kwa wale wa dar poleni na mafuriko.
Nilikuwa naomba kufahamishwa wapi wanapima Corona maana natarajia kusafiri nje ya nchi.
Pili je kipimo cha Corona bado ni kile kile cha kuchokonoana pua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.