Recent content by mamananihii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Supermarket inayomilikiwa na Wachina Dar yabagua Watanzania weusi

    Mimi nimewahi kwenda hapo kwenye hiyo supermarket na kwa kweli mlinzi aliniambia siruhusiwi kuingia kwa sababu sio membee hapo, nikamwambia sawa nataka kuwa member akasema haiwezekani kwa vile wewe sio mchina(yaani mimi), nikamwambia aniitie kama kuna mswahili humo ndani, akamuita dada mmoja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kaka nashukuru sana na wengine wanaotupa darasa hapa wote asanteni, nilikwenda kwa fundi baada ya kueleza tatizo la gari(bila kumwambia chochote nlichoshauriwa hapa JF) alipofungua kuangalia akakuta cylinder head gasket imeungua na top cover nayo ilishakwisha kazi yake nimevibadilisha sasa hivi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni kweli oil huwa inapungua, asanteni sana kwa ushauri.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Aisee najifunza vitu vingi sana hapa, nashukuru kwa kuendelea kutupa somo. Naomba kujua kama plugs za gari zinapandisha oil ni nini kinatakiwa kifanyike?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nimesoma kitu hapa nadhani sijaelewa vizuri, ina maana mtu akibadilisha engine ya gari akaweka ya aina ya gari ile ile anatakiwa kutoa ripoti polisi na TRA?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ni pasua kichwa, ila siivunji hii ndoa. Nipeni mchango wa mawazo jamani

    Mke wako alikupenda sana na kama hamujui ni kwamba mwanamke akikupenda basi anakupenda kweli kweli yaani mnoooo, sasa inapotokea akagundua kama kuna mchepuko hapo unakuwa umekorofisha akili yake kabisaaaa. Ataendelea kukupa huduma ila lile wazo la mchepuko huwa haliondoki kichwani mwake na pindi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lulu Michael Dazzles in This New Look

    Duh! Kweli...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lulu Michael Dazzles in This New Look

    Mastaa wa TZ bwana...huyu binti hajui maana ya kuwa 'staa' siku moja tumekutana nae duka la nguo, sasa mwanangu(wa kike) huwa anampenda sana huyu binti, akamfuata akamwambia anaomba wapige picha, khe! Cha kushangaza akakataa, nilimdharau sana, sijui hakuelewa maana alimwambia kwa kiingereza...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya tabia ya mwanamke aliyetoka kuchepuka

    Na nyie wababa mkitoka kugegeda mnafananaje? Twambieni basi ingawa mie wangu huwa hata akitongoza tu namtambua
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya tabia ya mwanamke aliyetoka kuchepuka

    Basi kama mtu anakuwa na wasi wasi na mkewe afanye hivi, akimuona tu karudi home pochi kule mbio bafuni na wewe nenda mbio mkaoge wote na pichu fua wewe baba hakuna shida, usije kufa kwa kunywa viroba bureee.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mshanajr naomba kufahamu kama wewe ni fundi wa magari na una garage?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante sana ngoja nibadilishe hiyo timing belt
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba msaada taa ya engine inawaka nimeshauriwa nikafanye diagnosis nimekwenda wanasema hawaoni tatizo wakaizima nimetoka hapo garage sijafika mbali ikawaka nikarudi wakazima kuondoka ikawaka nikaachana nao, naomba sasa mnipe maelekezo nipeleke wapi kuna wataalamu watanisaidia vizuri
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba kujua nikiambiwa gari ina~miss natakiwa kufanya nini au kubadilisha nini?
Back
Top Bottom