Recent content by mamamudi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kwa hii tabia yangu ya kutozungumza, nisaidieni

    pole mpendwa wangu mimi pia nina tatizo kama lako ila kuna utofauti kidogo kama ifuatavyo: 1.nimeolewa na mume yeye sasa hivi ana 43 mimi 38 2.hana tatizo la sukari ila tokea tuowane huu mwaka wa kumi na tuna watoto watatu, anapiga round moja tu hajawahi kurudia hata siku moja ila akipiga siku...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la Sheikh Faridi ni nini? Ponda ana kosa gani? BAKWATA imefanya nini Kuwatetea so far?

    Niko zanzibar waislam tumefutika hasira zetu zidi ya ccm rohoni, mambo wanayofanyiwa masheikh wetu yanatuuma sana. Tumejiandaa kuiangamiza ccm mara hii. Kimya kingi kina mshindo mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Zanzibar umeshakatwa tayari sasa hivi saa tisa kasorobo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadili dini ili nioe

    naomba nikushauri ndugu yangu: kurani inasema hakika dini ya haki mbele ya mwenyezimungu ni uislam na asietaka dini hii kesha angamia na kwa haikua maisha ya dunia ila ni starehe chache zenye kudanganya. jee uko tayari ukachomwe moto wa milele kwa ajili ya mwanamke? jee katikati ya safari...
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Naomba kujua uzinduzi wa ukawa ni wapi na lini

    msiongope jamani lowassa l leo ialikuwa uku Zanzibar alikuja kumsindikiza maalim seif kuchukua fomu ya urais y uko mzima wa afya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

    naomba uniunganishe kwenye hilo group lawhatssap namba yangu ni 0774301495, mama arkam
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ukitaka kufurahia ndoa umpate anayekupenda sio unayempenda wewe?

    kuna msemo wa kiarabu unasema watu hawaishi kwa kupendana tu bali huishi kwa kuvumiliana na tabia njema ndugu yangu hakuna kitu kinaleta raha kama kuolewa na mtu anaekupenda kwa dhati mimi mwenyewe mume wangu aliponitaka kwa ajili ya ndoa sikua nampenda kivile ila mapenzi yamekuja baadae kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

    pole habibty waswahili wakwetu Zanzibar wana msemo wanasema akufukuzae hakwambii toka utaona mamboye yamebadilika waweza ukae huwezi ondoka mimini mama w watoto watatu na ahamdulillahi niko ndoani wanaume nawajuawani nilishapitia mitihani mini nakushauri ufaye hivi kaa kama wiki bila ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    msichokijua wengi ni kuwa slaani mkatoliki na siasaza ccm ni kuubeba ukatoliki no matter what haya yanayotokea kwa slaa si bahati mbaya kwa vile magufuli pia mkatoliki lazima atumiwe slaa kupunguza nguvu na kura za wapinzani na ikiwezekana edo ashindwe ili wakatoiki watawale ndio maana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bila Mbowe, Lipumba, Mbatia Slaa na Maalim Seif Kuachia Ngazi

    ccm kishaaa huku kwetu Zanzibar wanapumulia gesi tumewabana koo siku zote walikua wanategemea kura za bara ila naona mambo magumu kwa upande wao wahoiiiiiiiiiiiiiiiiii, wandugu kuna habari eti Christopher ole sendeka kaimwaga ccm kaenda chadema ni kweli? mwenye habari atwambie
Back
Top Bottom