Recent content by mamaherry

  1. M

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba ukague michango ya walimu wanayokatwa kila mwezi

    mheshimiwa CAG wa tanzania walimu wanahoji kwanini hukagui mapato na matumizi ya makato ya walimu wanayokatwa kila mwezi.kweli waliumu wanaomba sana makato mengine kama NSSF yanaonekana wazi mambo makubwa wanayowekeza tanzania je cham cha walimu kinapeleka wapi michango wanayokata walimu kila mwezi
  2. M

    JamiiForums Tanzania natafuta tenda ya vitambulisho,t shirt na supplay ya vitu vya ofisin na srtationary

    wana jami forum nina kampuni yangu ya kuprint tshirt na kutengeneza vitambulisho kama vya wafanya kazi, mashuleni na pia stunasupplay office equipment na office stationaries.naombeni tenda jamani kwa wenye nazo.nina masters lakini ajira hamna ahsanten 0765101305
  3. M

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba ukague michango ya walimu wanayokatwa kila mwezi

    Mh. CAG, walimu wanaomba ukague michango ya walimu wanayokatwa kila mwezi na uhoji mapato na matumizi yake.Unaombwa kufanya hivyo haraka tafadhali.
  4. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwl wa shule ya msing hai kilimanjaro natafuta mwl wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka dar mawasiliano 0765101305 kimarochristopher@yahoo.com
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    kwanza tunaomba CAG akague michango yetu tunayokatwa na chama cha walimu kila mwezi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Tunaomba CAG uje tafadhali ukague heasbu za michango ya chama cha walimu na pia uhoji michango inapelekwa wapi____________________________))))))))+++)(:
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    tunaomba CAG AKAGUE MICHANGO YETU KWENYE CHAMA CHA WALIMU TAFADHALI
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa ambao unasumbua wanaume

    naombeni kujuzwa wanaume wengi wamekuwa wanavimba shinoni kwa nyuma ..au kutokwa na vipele na makovu nyuma ya shingo hadi wengine kufanyiwa upasuaji..jamani huo ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini
  9. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi ni mwalimu wa msingi wilaya ya hai mkoa wa kilimanjaro ,,natafute mwl wa kubadilishana naye kutoka kinondon dar ..kwa aje HAI NA MIMI NIENDE KINONDONI AU ILALA mawasiliano 0765101305 email,kimarochristopher@yahoo. com
  10. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi ni mwlalimu wa msing wilaya ya hia mkoa wa kilimanjaro ,,natafute mwl wa kubadilishana naya kutoka kinondon dar ..kwa mawasiliano 0765101305 email,kimarochristopher@yahoo.com
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi ni mwlalimu wa msingi wilaya ya HAI mkoa wa kilimanjaro ,,natafute mwl wa kubadilishana naye kutoka kinondon dar au ilala ..kwa mawasiliano 0765101305 kimarochristopher@yahoo,com
Back
Top Bottom