Recent content by Mamabolo

  1. M

    DPP wa Zamani, Dr. Eliezer Mbuki Feleshi ateuliwa kuwa Jaji Kiongozi

    Hongera Dr Feleshi PJ. Shirikiana na Juma CJ msimamie Law Reports ziandaliwe.
  2. M

    DPP wa Zamani, Dr. Eliezer Mbuki Feleshi ateuliwa kuwa Jaji Kiongozi

    Hongera sana Dr Feleshi, PJ. You really deserved. You merit it in my very humble view. Tunakusihi sasa msihi pia CJ Juma msimamie kwa pamoja tuweze kupata Law Reports. Kama bajeti haipo ombeni katika mamlaka husika mpatiwe ili tuondokane na shida ya decisions zinazokinzana kila kukicha. Go...
  3. M

    Twakupongeza (CAG) Prof. Mussa Juma Assad

    Kwa mabadiliko ya kitaasisi uliyoyasimamia kwa kipindi kifupi kwenye ofisi yako hadi sasa, sisi tuliokuwa na shauku hiyo tunakupongeza. Endelea kufanya kazi kwa utalaam na weledi wako katika discourse yako ya kusaidia usimamizi thabiti wa rasilimali za walipa kodi wetu. Tunakushukuru sana pia...
  4. M

    Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    Lipumba huo uprofessor wako waliokupa hawana budi kukunyanganya kwa uroho wa fedha ulio nao. Mla rushwa mkubwa wewe kumbe umenunuliwa kwa hongo. Hufai hata kuonekana hadharani tena kafiche uso tu huko urambo
  5. M

    Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    Ni sawa na aliyekuwa msemaji wa serikali ya Iraq wakati ile vita ya marekani inaendelea. CCM is falling and running restless from top to down
  6. M

    Prof. Lipumba arejea nchini

    Lipumba kula hizo bilions kisha uwapige chini urudie tena CUF. Faked by Lipumba. Umefurahishwa na pole ya ngeo za mbagala
  7. M

    Hii TAKUKURU ya mwaka huu imeota meno

    PCB ilikuwa bora kuliko PCCB. Hii ya siku hizi haijawahi kumshtaki mhusika mkuu wa ufisadi na rushwa kubwa. Unasoma tu katika magazeti wamemkamata samaki mdogo tu. Mapapa yanadunda tu tena bahari ya kina kirefu bila woga.wezi wakubwa walianzisha kampuni zilizonufaika na escrow. Yule kijana yuko...
  8. M

    Kesi ya IPTL dhidi ya Kafulila, yatupiliwa mbali

    Tuwekeeni hiyo nakala hapa tuisome ili tuichambue kiundani. Mahakama imetoa sababu gani....
  9. M

    Hii TAKUKURU ya mwaka huu imeota meno

    Tusaidieni hii nchi itoke kwenye ugonjwa wa rushwa. Anzieni juu bwana siyo hao wadogo.tunasubiria fedha ya viroba vya stanbic bank vichunguzwe bwana Hosea. Ukimya unatutisha mno ninyi PccB.hiyo kinga ya viongozi ya kushtakiwa bwana yapaswa ifutwe kabisa. Huwezi kufanya uhalifu kisha useme unayo...
  10. M

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Dharau hizo acheni ninyi mbaojaribu kumdhihaki Professor Muhongo.ninyi mliungana na waliomzushia pia? CCM yenyewe imeshaona atafaa sasa nyie wengine mnatoa mitazamo tu...mie nasibiria Rais Muhongo wa awamu ya tano...Nabii hatambuliki kwao...wayahudi hawakumwamini yesu hadi...
  11. M

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Watanzania tutimize haki yetu kikatiba kwa kumchagua Prof Muhongo. Nilivyomsikiliza leo tayari nimeona anafaa kuwa Rais. Angekuwa na umahiri huu wakati Mwalimu alipong'atuka hakika angeungana na Mzee Mwinyi kuunda Serikali ya nchi yetu. Sasa kafika...tumpe ili tuendeleze nchi kwa utaalam siyo...
  12. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Poleni sana ndugu zangu walimu....wenye dira ya kuelimisha watoto wa nchi hii yetu. Hakika Ghasia awasikilize kilio chenu. Nawaombea kwa Mungu awasaidie mpate uhamisho kila mmojawenu kulingana na ndoto zenu popote mlipo.....tamisemi tusaidieni watu wetu hawa jamani japo shule zavijijini...
  13. M

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Taifa linahitaji watu kama wewe mtoa mada. Ningelikuwa mimi ndiye top basi ningekufanya uwe mshauri elekezi wa madereva wa barabara za mikoani za route ndefu
  14. M

    Shillingi yazidi kuporomoka na kufikia sh. 1890

    Tatizo mimi naona ni kwakuwa fedha za kigeni na masoko yake vimetawala kuliko sarafu ya nchi. Nchi zenye maendeleo hubana sana matumizi ya sarafu za kigeni kwa matumizi ya ndani. Hapa kwetu kauchumi ketu kagonjwa lakibi cha kushangaza sojo huria la biashara wakati mwingine lunatuingiza chaka...
  15. M

    Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Subira inatutia shauku sana. Hivi ni lini NEC yaani Tume ya uchaguzi itatangaza rasmi kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu ili hao wanaohangaika kuonesha nia au kuendelea kuwa kwenye zuio waweze kuweka nia zao hadharani?NEC funguka....
Back
Top Bottom