Kesi ya IPTL dhidi ya Kafulila, yatupiliwa mbali

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,602
Reaction score
22,707
KESI YA IPTL DHIDI YA KAFULILA YATUPWA NJE.

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.

Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama imuamulu Mhe Kafulila alipe fidia ya 310bn kwa kuchafua jina la kampuni na mkurugenzi huyo.

Katika kesi hiyo Mhe Kafulila alikuwa akitetewa na taasisi za kisheria za Legal& Human Righ Centre pamoja na kituo cha Human Righ Deffenders.

Akitoa uamuzi huo mbele ya mawakili wa Human Right Defenders na Legal & Human Right Center wakiongozwa na wakili Mtobesya huku mawakili wa IPTL, PAP na Sethi wakiwa hawakufika mahakamani, Jaji Rosemary Teemba alisema Mahakama Kuu imejiridhisha kwamba kampuni ya IPTL, PAP na Mkurugenzi wao Harbinder Sethi hawakuwa na hoja za msingi kuthibitisha madai yao kama msingi wa kufungua kesi mahakama kuu na hivyo kwa kuzingatia hali hiyo Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam inatupilia mbali shauri hilo kuanzia.
 
Haki isitendeke tu,ionekane inatendeka. Kila mhusika sasa ajielekeze kwenye mambo mengine
 
Huyo mfungua kesi nae ----- hivi angeshinda hyo kesi angepewa hizo pesa na Kafulila?
 
Tunaendelea na safari ya Uhakika,Kamanda Kafulula songa mbele mkuu mkono wa Mungu utaendelea kukulinda dhidi ya waovu ccm
 
Haki isitendeke tu,ionekane inatendeka. Kila mhusika sasa ajielekeze kwenye mambo mengine

Lakini wanatakiwa kutuambia who was behind that.??Ndiyo haki itakuwa japo kidogo imeonyesha kutendeka...
 
KESI YA IPTL DHIDI YA KAFULILA YATUPWA NJE.

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.

Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama imuamulu Mhe Kafulila alipe fidia ya 310bn kwa kuchafua jina la kampuni na mkurugenzi huyo.

Katika kesi hiyo Mhe Kafulila alikuwa akitetewa na taasisi za kisheria za Legal& Human Righ Centre pamoja na kituo cha Human Righ Deffenders.

Akitoa uamuzi huo mbele ya mawakili wa Human Right Defenders na Legal & Human Right Center wakiongozwa na wakili Mtobesya huku mawakili wa IPTL, PAP na Sethi wakiwa hawakufika mahakamani, Jaji Rosemary Teemba alisema Mahakama Kuu imejiridhisha kwamba kampuni ya IPTL, PAP na Mkurugenzi wao Harbinder Sethi hawakuwa na hoja za msingi kuthibitisha madai yao kama msingi wa kufungua kesi mahakama kuu na hivyo kwa kuzingatia hali hiyo Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam inatupilia mbali shauri hilo kuanzia.

Ehe, kibanda cha Magamba CCM kinabomokabomoka kila kona kila kukicha!
 
mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na kampuni ya kufua umeme ya IPTL , Pan African Power ( PAP ) na mkurugenzi wao Harbinder Singh Seth dhidi ya mbunge wa kigoma kusini ( nccr mageuzi ) , David Kafulila kwa madai kuwa alichafua jina la kampuni hizo , chanzo - mwananchi jumamosi .
Hongera kafulila .
 
Hongera Kafulila, hongera Tanzania
 
Ingesikilizwa ingesababisha matatizo maana majina ya akina nanii yangetajwa mahakamani.
 
Tuwekeeni hiyo nakala hapa tuisome ili tuichambue kiundani.

Mahakama imetoa sababu gani....
 
Sababu kuu ni kwamba ni kweli PAP na IPTL walipiga hela kupitia dalali wao KJ.
 
Back
Top Bottom