Recent content by mama yetu

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Kunywa soda kwa Mangi nakuja kulipa
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Not yet sijui namkosi gani humu duniani I find myself every time singing maybe this love is not for meee am single by harmonize
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA OFFER: Dressing table inauzwa

    SOLD[emoji2969]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dereva wa kike (bolt) anatafuta gari

    Habari Kuna dereva wa kike anatafuta gari kwa ajili ya biashara ya bolt/Uber/paisha etc Leseni yake ni daraja D ana uzoefu mkubwa wa kuendesha hapa dar es salaam. Ni mstaarabu na na mtunzaji nzuri wa chombo cha boss. Ana umri wa miaka 32. PM kwa maelezo zaidi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Infinix hot12i inauzwa

    Mpyaa full box imetumika wiki mbili tu ipo kama unvyoitoa dukani Bei 230,000 fixed Pm for details
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Hapo kwenye ID kila mahali you got me wrong you have mistaken me with some one else.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Tena proudly mumama
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Why so?
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    [emoji23][emoji23][emoji23] haya bwana
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    You said it all bro.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Nitafanyia kazi hiyo last paragraph Asante!
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Yes nina mtoto nae mmoja 3 years old boy
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Hello dears just want to share something with you about my love life. I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake. Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lesseni? Inachukua muda gani na kugharimu kiasi gani?

    Mnisaidie process leseni yangu ilipotea miaka miwili nyuma nataka kurenew baada ya kupata gari naanzia wapi? Pia je nitahitaji loss report? (muda wa ku expire bado mwaka mzima)
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mahindi mabichi ya njano?

    Nachemshia makande mwanangu karibu sana nikiaanza nitawatangazia mniuungishe mama yenu
Back
Top Bottom