Recent content by MAMA SAMWEL

  1. MAMA SAMWEL

    Kambi Rasmi ya Upinzani wasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini na kutoka nje ya Bunge

    Katiba mpya iondoe kabisa viti maalum!kwa kiasi kikubwa ndio wanasaidia kupitisha yasiofaa hapo bungeni!tupige marufuku kabisa hakuna viti maalum tenaa!nina uhakika ili likikubalika asilimia 70 ya wabunge waliopo bungen leo hawatarudi tena 2015
  2. MAMA SAMWEL

    Kambi Rasmi ya Upinzani wasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini na kutoka nje ya Bunge

    Mimi pia baada ya ukawa tu kutoka bungeni nilizima TV na kwenda kwenye misele yangu!
  3. MAMA SAMWEL

    Kambi Rasmi ya Upinzani wasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini na kutoka nje ya Bunge

    Mwakan patakuwa na mshike mshike sanaa kwenye bunge la bajeti!ahadi nyingii zitakuwa bado hazijatekelezeka!na wabunge watakuwa wakali dhidi ya serikali yao ya CCM!wabunge wa CCM watagawanyika nusu wanaoisapoti serikali na wale wasio isapoti!hapo ndipo tutashuhudia anguko kuu la CCM!kama...
  4. MAMA SAMWEL

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Anapoteza muda huyu waziri kubwa sisi tunataka kusikia akitamka kama kagasheki.maneno yametuchosha kabisa.anasubiri nini??? Aaahhhhhhgggg
  5. MAMA SAMWEL

    Majambazi yapora fedha Benki ya Habib African

    Haaaa!how come wanakaaa na pesa yote hiyo bila kuipeleka BOT??hako kabenki ni kadogo wala hakana wateja wengi so lazima limit ya kukaa na pesa strong room pia itakuwa ndogo!ss ilikuwaje wakakaa na pesa yote hiyo ndani??hata kama limit inaruhusu lazima kuna watu wa ndani wanahusika bana!
  6. MAMA SAMWEL

    Hapa ni Dar. Lakini wapi?

    Mkuu hata mm nilivopaona tu nilijua ni slipway!na wanasema slipway ndo kuna sunset nzuri zaidi kuliko sehemu yoyote hapa TZ
  7. MAMA SAMWEL

    Mwigulu na Wabunge chadema nusura wazichape bungeni - bomu Arusha

    aaaah kwann hawakumkata mabao huyu mwigulu??manake hapa anaonekana mwigulu ndo mchokozi amewafata makamanda kwenye kijiwe chao kwann asiende kwenye kijiwe cha magamba wenzie??wangempiga hata vibao viwili tu ashike adabu
  8. MAMA SAMWEL

    Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    poleni sana maxence na nduguyo and get well soon
  9. MAMA SAMWEL

    Jinsi Kabinti ka Nyololo Iringa kanavyowamaliza madereva wa malori kwa ajali!

    mhhh hii habari inashtua sana but madereva wenyewe wanapitia hapa??
  10. MAMA SAMWEL

    Kati ya baba na mama wewe unampenda nani?

    nawapenda woteeeeeeeeeeeeee
  11. MAMA SAMWEL

    TRAFIC mna nini na Kinondoni road????

    yaan kwakweli leo saa moja asubuhi nilikuwa manyanya just imagine mpaka saa mbili kamili asubuhi nilikuwa sijavuka pale kwenye mataa ya salender.yan trafic wanapenedlea sana ile njia ya magari yanayotoka mwenge.it is not fair please kama kuna mhusika humu ashughulikie hili swala.
  12. MAMA SAMWEL

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Mungu wangu wameifungia hii radio yao...ijumaa hii hapa mjini patakalika kweli??me mpaka naogopa yan
  13. MAMA SAMWEL

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    hapa lazima serikali ifanye maamuzi magumu ili kumaliza kabisa ili tatizo
  14. MAMA SAMWEL

    Valentine inakaribia utampa mpenzi wako zawadi gani ?

    me kaniboa so hata pipi tu hatapata na uzuri wenyewe ID yangu anaijua so atasoma hapa
  15. MAMA SAMWEL

    Mashepu ya Ukweli!!!!!!!

    Aisee hii ya wachaga ni kitu gani hicho???au ni yale mandizi wanayokula??shepu ya simba duuh!!
Back
Top Bottom