Recent content by mama Px2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mechi za CHAN zimekosa hamasa na mahudhurio mazuri viwanjani Tanzania?

    Baadhi wanaogopa kuitwa mashabiki wa mama
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia usiwe king'ang'anizi, chutama ufuate taratbu za kumpata mgombea Urais CCM

    Itakuwa Wazanzibar wanatabia za kung'ang'ania mambo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Laana ya mtandao na kuvurugika kwa chaguzi za chama: 1995-2025

    Walishajipanga, ndiyo maana wakawajaza Uvccm huko.Laiti ingekuwa tiss iliyoasisiwa na Nyerere haya yote yasingetokea.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole ampiga chenga ya mwili Mbowe baada ya kuahirisha Press yake hadi kesho

    Kati ya dira na Mbowe nani anajadiliwa sana?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole ampiga chenga ya mwili Mbowe baada ya kuahirisha Press yake hadi kesho

    Polepole alisema mapema leo hakutakuwa na press,labda ujio wa Mbowe leo umepangwa Ili tusijadili hiyo dira yao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tumeikosa Huruma Yetu ya Kibinadamu?

    Nahisi ameshapitia,sababu kuna clip anawakalamikia waja,wasimuhukumu marehemu kama makosa ni yake(Mpoto). Jamaa mmoja akamjibu,nyie ni mwili mmoja!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

    Hongera sana kwa kazi nzuri,umeutendea haki uteuzi wako.10/10!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tenda zote kubwa zinaamuliwa Ikulu, Kinara wa Dili ni yule kijana alietajwa na Gwajima

    Hiyo rufaa anayokata mshindwa zabuni inasikilizwa na nani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Hawa ni wa sekondari,tangu Jan wamehamishiwa Vituka,Yombo Vituka ,nasikia wameambiwa wasomee hapo kwa muda,kisha watajengewa/wanajengewa shule yao Mbagala.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Kurasini sekondari nayo kapewa mwekezaji.Tangu Jan wanafunzi na wlm wamehamia Vituka sekondari,wamepisha shughuli za uwekezaji.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

    Kwa madai yaliyopo, lazima akitoka atafanyiwa check up,na itajulikana he,alipewa sumu au la?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waliofuatilia Mubashara Kesi ya Lissu ni Wengi Kuliko Hotuba ya Rais Kuvunja Bunge. Tatizo ni Nini? Tunakwama Wapi?

    Kwahiyo siku ya hotuba ya Rais watu walikuwa wanaajira,siku chache baadaye wakati wa kesi ya Lisu watu hawana ajira?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Huyu ni malaya tu hana lolote.Na kama lengo la kutoka nje ya ndoa ni kujiongezea kipato hayo madeni anayoyasikitikia yametokea wapi?
Back
Top Bottom