Recent content by mama pita

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jamani kosa langu lipi hapa

    Mzee wangu anadai yeye kwao amekua na watu baki tu kwahiyo ni sahihi kwa huyu kijana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jamani kosa langu lipi hapa

    Kiukweli angekataa sababu jamaa akisafir hua anakuja kunisubir dukan twende wote nyumban nikapike ale then aondoke, nikamwambia jamaa amwambie kua sio tabia nzuri mimi sio mke wake ni bora awe anakuja jamaa akiwepo ...alikuja juu safar hii nikajilipua
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jamani kosa langu lipi hapa

    Nadhan hana maana kwao ni huku lakini alishaondoka aakaenda kupanga ila kupika mvivu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jamani kosa langu lipi hapa

    Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi, Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban. Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia, Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

    Jmn huyo sio dume kweli??? maana hata kifuani panaonekana tu kunamanguo yamewekwa huyo dume bwana mwangalien vzuri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu hataki niende kwake akiwa yeye hayupo(akibaki mkewe)

    Mama Sabrina ninashida Sana na wewe naomba tuongee kidogo shida Sana plz
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anataka kufahamu faida ninayoingiza kwenye biashara yangu. Kaninunia baada ya kumwambia tupige na mshahara

    Naombeni ushauri wenu.... Naishi na mwanaume kabla sijawahi nae nilikua nina kipharmacy kidogo ambalo lipo mpaka leo ila tofauti ni kwamba tulipoamua kuishi pamoja nilimfata mkoa mwingine ambapo sio mbali sana na duka lilipo hivyo nikalizimika kuweka mtu wa kuniuzia ambapo hua naenda kumkagua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sipendi kuishi sehemu moja muda mrefu, je nina tatizo? Hata kazi kila baada ya miaka 4 inaniboa natamani nihame

    Mi pia nipo hivyo hata Kama ni mahusiano itakuja tu hali itakua inanisukuma niachane na uyo mtu na nitafanya juu chini niachane with no reason yaan. af badae naanza kujilaum....kuna mtalaam mmoja akiniambia ninanyota ya upepo so ningum kutulia sehem moja
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inaniumiza sana

    Mtoto anaishi kwa Bibi yake
  10. M

    JamiiForums Tanzania Inaniumiza sana

    Mtoto anaishi kwa mama tena yeye hua abagomba anataka tuishi nae hapa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inaniumiza sana

    Uko kwenye kuvaa ndio changamoto sababu kwa umbo langu navaa magaun marefu mapana au sketi ndefu Pana Sasa yeye halend ivyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Inaniumiza sana

    Mi nipo kawaida tu alafu kabla ya kuanza kuishi pamoja tulikua na mahusiano ya kimapenz mwaka mmoja na nusu..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inaniumiza sana

    dah!
Back
Top Bottom