jamani roho inaniuma sana naomba kunijuza hali ikoje hapo arusha?kuna msg nazipata kuwa kuna magari yameandaliwa na mccm wamebadilisha namba za magari.:angel::angel: ooh yesu wa nazalet wafunike kwa damu yako
Kwenye maandamo yao huwa wanafunga kitambaa mdomoni kuonyesha kuwa wote wakikaa kimya habari haita toka,lkn wengine ni wanafiki sana,angalia mauwaji ya mwangosi pamoja na maandamano yao,WALISEMA HATUMTAKI KUMWONA MH MCHIMBI,wakawa wa kwanza kumhoji,hivi wandishi hawana uchungu na mambo...
Du!! Inauma sana,serikali iliyokosa hekima imekosa uzalendo,serikali inashindwa kuwa na roho ya huruma,hivi hawa viongozi mungu aliwaumba siku gani? mbona wana roho ya unyama.wanafunzi amkeni mwaka 2015 tuwaondoe madarakani,MUNGU AMESIKIA KILIO CHENU ONE DAY YES.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.