Poleni na changamoto ya maji,
Imefika wakati sasa mtanzania ukiwa na mpango wa kujenga bajeti ya kuchimba kisima cha kuvuna maji ya mvua iwe ni kipaumbele.
Ardhi ya Makabe iko juu zaidi ya ardhi ya Msumi.Hakuna ardhi inauzwa ukubwa 20*20 kwa mil 6 Makabe wala Msumi.Hiyo bei ni ya muda sio sasa.Ukikuta mtu anauza hivyo kuna shida hilo eneo anataka akuingize mtegoni.Kwa uchunguzi jaribu kupitia hata page za madalali Instagram wanaouza viwanja uone...
Hakika vijana wawekeze kwenye ardhi.
Msumi 20*20 mil 6 hupati sasa viwanja vimepanda lami inayojengwa imepandisha sana ardhi.....iko 18-20mil sasa.
Makabe ndo kabisa huwezi kupata 20 kwa 20 kwa mil 6.kama mtu anacho kwa mil 6 naomba niwe mteja
Nyumba nyingi za hivyo huwa mwanzoni hazikujengwa kwa lengo la kupangisha...so baadae mwenye nyumba anaamua kuforce anaongeza vyumba vingine lakini vyoo na chemba zake zinakuwa za zamani hasa mikoani wana hii tabia sana wakiona mji umechangamka na uhitaji wa vyumba ni mkubwa.
Nilishawahi kupanga...
Kisa sio mia tano...shida kwa nini mtoto wa darasa la tatu achapwe fimbo kwa kutokwenda shule siku ya jumamosi.(Tuition)?,hata ingekuwa hawaambiwi waende na hiyo mia 5 kwamba ni buree bado sio haki kwa mtoto wa darasa la 3
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.