Recent content by Mama Mwamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutafsiri

    kuchoreka kushoboka maunguli (wa filamu) Na pia eti kuna gari TZ linaitwa Skylet/Scarlet? Asanteni! :)
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mustakari

    Hilo neno mustakari linamaanisha nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia

    Nikikubali ndio utanisaidia na kutafsiri. Geesh, good help is hard to find. Hii ndio niliyoyasoma hapa: Jukwaa la Lugha Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili) Jifunze Kiswahili. Ninajaribu lakini naona watu wanapita, wanasoma na kuendelea zao. Very...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Please translate in English kama unaweza, kama sio I will take Kiswahili. Asante

    1.kG itakuwa ni suruhisho lamatatizo 2.comment za kutaka afanye nini kitoe 3. we want maendeleo, bado tunapiga mark time mr president 4.mi napinga sie kunufaika na vijiasilimia vilivokuwepo 10% 5. you were jembe lako & close as his son 6.maovu 7.nyendo 8.wadanganyika wa hali ya nchini 9.DOWANS...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia

    Jamani asante sana kwa majibu na kwa ushauri wako. It is good advice. Language is complicated and culture and context are a big part of it. Kitu kimoja I want to clarify: Unajua hapo nilipoweka huo msemo wa "mbuyu...mchicha", nilikua naomba tafsiri. Kumbe nadhani wewe ulidhani natoa statement...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia

    "hata mbuyuulianza kama mchicha"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia

    Aisee kwa vipi? Na majibu je :wink2:
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia

    Kwani nikikujibu ndio utanisaidia? lol Sawa. To answer your questons: Ndio. California. America.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia

    Asanteni wote mlionisaidia na mtaoendelea kunisaidia kuelewa lugha ya Kiswahili. Naomba mjue kuwa ninazo kamusi lakini mara kwa mara utakuta kuna maneno hayapo...au labda tatizo langu sio kutokuelewa kila neno, tatizo ni kuelewa maana ya sentensi. Na pia ninatumia Kamusi project, Wiktionary na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kutafsiri maneno au sentensi kadhaa...

    Asante sana!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kutafsiri maneno au sentensi kadhaa...

    Asante kwa mawazo yako. Ukiona nime post swali hapa, ujue kuwa nimesha exhaust resources zangu nyingine zote. Nakushukuru kwa msaada wako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kutafsiri maneno au sentensi kadhaa...

    Asante.
  13. M

    JamiiForums Tanzania On time,in time .What are the differences?

    Aqua, I respectfully disagree. In time has nothing to do with before the time agreed upon or whatnot. I think that "In time" deals more with a given event whereas "on time" deals with a definite time on the clock. On time = at the precise time agreed upon. In fact, you could be there a bit...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kutafsiri maneno au sentensi kadhaa...

    1. mazali 2. tumeshoka (sio tumechoka) 3. mitaala 4. "kulunafisini dhalkatul maut" 5. nyanja 6. mdau Asanteni sana!
  15. M

    JamiiForums Tanzania naomba msaada wa kutafsiri sentensi hizi

    Nilikua nina tafsiri maandiko, hapo ndio mtu akagonga hodi mlangoni
Back
Top Bottom