Recent content by Mama Mdogo

  1. Mama Mdogo

    Wakristo wenzangu, kwahiyo pamoja na kuwa na elimu zetu Bado tunaamini Nabii Yona alimezwa na nyangumi na akatapikwa akiwa Yu hai?

    "Yesu akawakazia macho, akasema, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu." - Marko 10:27
  2. Mama Mdogo

    Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

    Baba umsemehe huyu, hajui asemalo. Uzuri wakatoliki tumejawa na na roho mtakatifu aliyetushukia siku ya pentecoste, tunajizuia kuyasema mapungufu kadhaa ya dini zingine; na yapo mengi na yanafedhehesha.
  3. Mama Mdogo

    TANZIA Muigizaji Dharmendra wa India, afariki Dunia

    Rest in peace Dhamendra. I am just thinking aloud to check if the following Bollywood stars are still alive: Amitah Bunchan, Rajesh Khana, Rishi Kapoor, Ashok Kumar, Sanjev Kumar, Hema Malini, Mithun Chakroboty, and Prem Chopra.
  4. Mama Mdogo

    Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

    "Mjinga akielimishwa anaelewa, lakini mpumbavu huwezi kumuelimisha, kwani upumbavu ni sifa ya kuzaliwa nayo, kama ilivyo kwa ufupi na urefu"- Mwalimu Nyerere.
  5. Mama Mdogo

    TANZIA Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga afariki Dunia

    Hii ilikuwa ni business ya wanaume wawili wakiwahudumua wasixhana wabichi. Wanaume hawa ndiyo huyo marehemu Lundenga na mkuu wake wa itifaki marehemu Albert Makoye. Kwa kuwa wote wamefariki, basi imekuwa an end of an era. Ila wameacha kumbukumbu ndanibya mioyo ya hao wasichana waliowahi...
  6. Mama Mdogo

    Wanafunzi wa chuo kikuu wapigana kisa mme wa mtu, hawaoni umuhimu wa elimu kuwatoa kimaisha wanaamini katika ukahaba

    Mwijzku katoka kiluhiji juzijuzi, na tayari keshaanza kuendekeza umalaya. Mwijaku zingatia maadili ya dini yako huku ukijikumbusha kuwa, ukimwi bado upo. ukijikumbusha kuwa ukimwi upo!!!!
  7. Mama Mdogo

    AJABU: Mchungaji Irene Uwoya anauza mafuta ya upako ya kuzuia kuzeeka!!

    Mimi ni kama Mtakatifu Thomas, siamini bila kuona. Itapendeza kama huyu Nabii Irene ataanzia kwa kuwapaka wazazi wake na babu zake ili tushuhudie wakirudi ujana. Amen
  8. Mama Mdogo

    Rais Tinubu wa Nigeria aelekea Paris, Ufaransa wiki mbili kwaajili ya kutafakari kuhusu uongozi wake

    Looh, nina wasiwasi anakwenda kupanga mkakati na Ufaransa kuhusu hali ya kisiasa ya Ecowas baada ya Burkinafaso, Mali na Niger kujitoa kukimbia unyonywaji..
  9. Mama Mdogo

    Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

    Gerald Ford alichukua madaraka ya kuwa rais, baada ya rais Nixon kujiuzuru. Tukumbushsne Gerald Ford alikuwa mgombea meenzi wa Nixon na hivyo walishinda kwa kupigiwa kura na wananchi. Hii ni case tofauti kulinganisha na mada iliyoko mezani ambapo makamu wa rais hstokani na ugombea mwrnza.
  10. Mama Mdogo

    Kuna nini kati ya Mbwewe na Mkata usiku huu?

    Kwa sasa hali ya kiuchumi siyo nzuri, ngoja nikishavuna mshindi yangu na kuuza nitapanda ndege hadi kigoma hslafu nipande MV Liemba inivushe hadi Lubumbashi niingie Congo DRC kufanya utalii wa ndani.
  11. Mama Mdogo

    Kuna nini kati ya Mbwewe na Mkata usiku huu?

    Ndege zipo Nairobi hadi Dar, KIA, na Zanzibar, hakuna ndege ya Nairobi kwenda Dodoma. Vilevile hakuna bus la Dar kwenda Nairobi. Ndege kutoka Dar kwenda Mpanda ni mara tatu kwa wiki, na mara nyingi huwa zinaahirishwa.
  12. Mama Mdogo

    Kuna nini kati ya Mbwewe na Mkata usiku huu?

    Ilikuwa saa 9:30 usiku hadi saa 11:00 alfajiri.
  13. Mama Mdogo

    Kuna nini kati ya Mbwewe na Mkata usiku huu?

    Wadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi na ya kutoka Dar hayapiti. Hamna anayetuambia shida ni nini. Aliye na taarifa za uhakika atujuze...
  14. Mama Mdogo

    SGR: Dar mpaka Moro na Moro mpaka Dodoma masaa mangapi?

    Ukweli ni kuwa safari ya bus Dar to Morogoro au Morogoro to Dar ni saa 5 nzima kwa bus; na kutoka Dar hadi Dodoma au Dodoma hadi Dar kwa bus ni saa 8 nzima. Hiyo ndiyo hali halisi kwa sisi tunaotumia usafiri wa bus.
Back
Top Bottom