Recent content by Mama KK

  1. M

    A simple way to kill a woman!

    Very Funny!!!!!!!!!!! but not simple as you are thinking!
  2. M

    Kwa nini waalimu wanadharaulika?

    Siku hizi kila mtu anatafuta njia ya kuchuma hela haraka, na kazi ya mwalimu ni ya kujivuniya lakini hailipi vizuri. Kwa hiyo kuwa mwalimu ni kazi ya mwisho mtu atataka kuchagua kwa sababu ya malipo. Lakini hawajui kwamba kila mmoja anahitaji mwalimu kumsaidia kupanda ngazi ya maendeleo yake...
  3. M

    Dress right during Ramadhan

    mmmm sheria zote yana yakuwa kwa wanawake wa ki islamu tu! mbona wanaume wa ki islamu hamuwaambii?????????? Na kwanini tujirudi na kutubu wakati wa mwezi wa ramadhani tuu, kwanini tusifanye hayo yote kilasiku kama sheria za kiislamu zina sema???????????
  4. M

    Please advise

    Hi, It all depends on you and the age of your daughter really. Are U interested in taking care of your daughter on your own? if yes then you should take her with you and bring her up yourself. Mama KK
Back
Top Bottom