Recent content by mama kijacho

  1. M

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Harufu mbaya kinywani wakati mwingine husababishwa na calculus (ugaga ktk meno) hivyo ni vyema uende katika dentsl clinic ukatizamwe km unazo usafishwe na tatizo lk litapona lakini kwa kubadili dawa ya mswaki au matumizi ya mounth wash tu hayataondoa tatizo. ....nenda kamwone dentist
  2. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Upya wa nyumba yake umefanya wageni wafikie kwake
  3. M

    Nahisi naibiwa-mrejesho

    Acha maneno yk ya kipuuzi km wt basi wote tuu kwan hao wengine wameweka vifuu au?
Back
Top Bottom