Recent content by mama isidingo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko ya Mbeya "Sugu" Mkutanoni Leo hii

    Watoto wa shule utafikili ni chekechea ngojeni 2020
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko ya Mbeya "Sugu" Mkutanoni Leo hii

    Hayo ndio mafuriko na picha zenu za upande mmoja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko ya Mbeya "Sugu" Mkutanoni Leo hii

  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko ya Mbeya "Sugu" Mkutanoni Leo hii

    Hakuna mafuriko hapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko ya Mbeya "Sugu" Mkutanoni Leo hii

    Hakuna mafuriko hapo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto ipi ilikufurahisha 2015?

    Kwenye hiyo ndoto na mimi nilikuwepo tukaenda hadi ilembula hospital kupitia kwa mbunge wa zamani yono kevela kufika hospital magufuli wakamnyonya damu nikaogopa nikashtuka ghafla kumbe ndoto
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbeya City FC yaendeshwa kisiasa

    Wewe tena unaleta siasa wakati tunataka kufanya timu iwe ya kishindani unaleta uchadema na uccm ujue timu ilikuwa nzuri sana siasa ndio zimeharibu timu na inaweza kushuka daraja
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbeya City FC yaendeshwa kisiasa

    Wadau ni kwamba timu ya Mbeya city inazidi kupotea katika ulimwengu wa soka baada ya wanasiasa kuingilia kati na kufanya kuwa chanzo chao cha pesa(maslahi binafsi) kuliko ya timu. Kama ijulikanavyo timu hii inamilikiwa na halimashauri ya jiji la Mbeya, ambayo mpaka inapanda daraja halimashauri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa wanatunduma tunakusubiri

    Sasa si mkae na mwakajoka lowasa anachunga ng'ombe hataki kusikia hayo mambo yamemfanya alost sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa wanatunduma tunakusubiri

    Una wazimu wewe hapa kazi tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Lowassa ndani ya CHADEMA

    Lowasa kasha kwisha kisiasa hawezi tena kuendelea mtu mwenyewe alikuwa anaomba uchaguzi uishe apumzike
  12. M

    JamiiForums Tanzania Renatus Mkinga na Mtikila live Star TV: Suala la afya za wagombea laongelewa

    lowasa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wako ametimiza wajibu wake?

    mbunge wangu ni sugu hakuna alichofanya mbeya zaidi ya mavurugu tu
Back
Top Bottom