Recent content by mama gp

  1. M

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Nadhani bado ni akili ya kitoto,na cku zote majuto ni mjukuu!
  2. M

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    mshukuru sana mungu dada huwezi jua kakuepusha na balaa gani kwa huyo mwanaume,ukute angekuletea hata virus kwan anaonekana hakuwa mwaminifu.
  3. M

    Wife kanikuta club nikiwa na demu

    sasa unachoogopa kwenda kupima ni nini kama sio unajijua kabisa tabia yako ya kuokoteza wanawake na wakati una mke nyumbani kwako ni nini? sometimes kuna baadhi ya wanaume pasua kichwa sana kwa wakezao!
  4. M

    Inakatisha tamaa

    wewe unaesema anajiendekeza beba na wewe mimba uone raha yake,ukishajua utamu wa kubeba mimba unaweza kwenda kumpigia mama ako magoti kwa mateso aliyoyapata kwa miezi yote tisa.
  5. M

    Kunyoa sehemu za siri.

    msimshangae huyo anaonesha wazi kuwa nature yake ni uchafu na hiyo ameongelea chini akinyanyua mkono huyo wote mliokaribu mnakimbia na mafua juu,cku akifa muoshaji maiti yake atajionea viroja sana
  6. M

    Ndugu wa mume wanaichonganisha ndoa yangu

    pole sana dada,jaribu kuongea na mumeo kuwa akiwasikiliza sana ndugu hasa mawifi wengi wetu ni wavunjaji wa ndoa,ajue ndoa ni ya watu wawili tu ukiingiza ndugu tu unaharibu kila kitu kwani maneno yamakuwa mengi
  7. M

    Auawa kikatili kwa kuiba mahindi matatu - Tabora

    ndo maana watu husema ni bora ukutane na simba au chui barabarani kuliko binadamu kwa sababu utu haupo kabisa
Back
Top Bottom