Recent content by Mama Diana

1. M

Samaki wazuri wa kubanikwa kutoka mwanza wanapatikana

yaap nipo dar mpendwa nipigie kwenye namba niliyoweka hapo kwa maelezo zaidi
2. M

Samaki wazuri wa kubanikwa kutoka mwanza wanapatikana

umejaaa dharau wewe yaani sitaki hata niongee kwani usipoandika kitu utakufaa
3. M

Samaki wazuri wa kubanikwa kutoka mwanza wanapatikana

ndugu yangu nipo dar na ni wa kubanikwa
4. M

Samaki wazuri wa kubanikwa kutoka mwanza wanapatikana

Samaki wazuri wa kubanikwa kutoka ziwa victoria.bei inaanzia 3000 hadi 5000 kulingana na ukubwa wao.kwa mawasiliano piga no 0754621676. :welcome:
5. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

jamani najua basi maana ya ya PM
6. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

Ndiyo ndugu yangu nitashukuru sana kwani nimehangaika sana
7. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

nipo mbezi luois. Miezi 3. Ndiyo kaka yupo wa kumwachia
8. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

ndiyo ndugu yangu
9. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

Naishi Mbezi luois. Yaap Diana ni mwanangu. Baba yake alinikana na alinikimbia.
10. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

Nashukuru love kwa courage, jamani niajiri pls
11. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

Kweli kaka mimi mdada nitaweza kweli na mwanangu!
12. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

Nina miaka 22 na nilishawahi kufanya kazi kiwanda cha konyagi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote isipokuwa ubar medy na changudoa
13. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

Nimemaliza mwaka jana ndugu yangu. Kuuza dukani, house keeper, isipokuwa bar medi na uchangudoa ndiyo kazi ambazo siko radhi nazo
14. M

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

tafadhali ndugu zanguni nahitaji msaada wa ajira kwani nimemaliza form 4 ila sina professional yoyote tafadhali. Nisaidieni tafadhali
15. M

hello wana jf

msaada wenu wahitajika wajameni
Back
Top Bottom