Recent content by Mama boys twins

  1. Mama boys twins

    Mnyika nenda kasaini,kutakuwa hakuna tena suala la kuitafakari CHADEMA

    Moyo wa binadamu kweli kichaka, wakigombea wanaenguliwa wakizira wanabembelezwa kugombea! kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake 🤣🤣🤣🤣
  2. Mama boys twins

    Nimekuwa mama

    Hongera sana na karibu kwenye chama la wamama😍
  3. Mama boys twins

    Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

    Yaani huwa inanifikirisha sana, kizazi Cha sasa kimejaa ubinafsi mnoo na hawana huruma kwa watoto wao. Ndiyo maana kuna wakati unakuta mtu anapgiwa simu halloo fulani Mama/Baba yko kalazwa anaitika kawaida tu tena hana majonzi kiviilee na anaweza kaa hata zaidi ya siku 2 ndiyo akaenda kumjulia...
  4. Mama boys twins

    Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

    Sasa elfu 50 kwa umpendaye ni kitu cha kujishauri kiasi hicho tena mwz mzima?!
  5. Mama boys twins

    Ukibadilishiwa mtoto wakati wa kujifungua usipige kelele fanya hivi ili kupata haki yako

    Ndiyo hivyo utaratibu wa hovyo mnoo kwa kifupi mtoto anakuwa chini ya uangalizi wa nurse na akilia njaa wakati bdo Mama hajanyanyuka anapewa tu maji twa dripu (glucose)
  6. Mama boys twins

    Ukibadilishiwa mtoto wakati wa kujifungua usipige kelele fanya hivi ili kupata haki yako

    Hospital gani ya serikali mtoto anapokelewa na ndugu mara tu anapotoka theatre? Hospital nyingi za serikali naona mtoto anakuwa chini ya uangalizi wa manesi hd yale masaa 8 Mama anaporuhusiwa kunyanyuka...... kiukweli haya mambo yanaumiza sana sijui hata huwa wanalipwa kiasi gani kufanya huo...
  7. Mama boys twins

    Siwezi kusahau haya manyanyaso ya mama wa kambo

    Amina 🙏 Mungu ni mwaminifu, hataacha watoto wetu wapitie tulichopitia
  8. Mama boys twins

    Siwezi kusahau haya manyanyaso ya mama wa kambo

    Wewe Dada mbona hadithi ya maisha yko inataka kufanana na yangu? Sema Mimi niliachwa na miezi 4😭 wanaume hakika angalieni wanawake wa kuoa hasa ukiwa umeachiwa mtoto/watoto wadogo...... Mungu bariki kila Mama aweze kulea mwenyewe uzao wake.
  9. Mama boys twins

    Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Khaaa kiboko kabisa
  10. Mama boys twins

    Wazazi waambieni ukweli watoto wenu kuhusu uchumi na mahusiano!

    Watu mnasiri sana kumbe kuna mayai ya interview na hamsemi?!ila mayai kwangu yapo kwa ajili ya mume wangu sasa nawewe tafuta wko kwa ajili ya hilo zoezi
  11. Mama boys twins

    Wazazi waambieni ukweli watoto wenu kuhusu uchumi na mahusiano!

    🤣🤣🤣🤣 Sijajua kwanini Mama kakaza fuvu namna hiyo au ndiyo km ulvyosema ni Mama wa kizamani. Binafsi binti yngu kakuwa juzi kati tu na akaanza maswala ya boarding na Mr katika vitu vya kununua vya shule na mahitaji ya binti anamnunulia binti yake pads,chupi etc japo zinafikia kwanza kwangu nami...
Back
Top Bottom