Recent content by Malungwana

  1. M

    Zanzibar yaanzisha bima kwa wageni (US$44), kuanzia kutumika Septemba 1, 2024

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imeanzisha travel insurance kwa kila mgeni ( foreigner ) atakayeingia Zanzibar kuanzia 1 Oct 2024, je hii ni sahihi au ni upungufu wa ubunifu wa kukuasanya kodi, maana sekta ya utalii pekee ndio inayobinywa, pengine hii kutaifanya Zanzibar kua ni expensive and...
  2. M

    My dear Zanzibar

    Huu ubaguzi na kulazimisha Imani kwa Zanzibar ulianza zamani sana, Imani ya mwengine unaingilia uhuru wa mwengine, watu wanafungishwa kwa lazima watake wasitake, iliwahi kutokezea kuna kipindi watu walikua wanafatwa hadi ndani wamejifungia wanakula wanakamatwa. Kipindi hichi cha Ramadhani kwa...
  3. M

    Tuongelee AirBnB + Tourism hapa Tanzania. Watu wanatengeneza pesa nyingi. Experience ya miezi 2 nikisafiri Tanzania

    Habari niko Zanzibar, n Habari niko Zanzibar ni Tour Operator , na deal sana na Eco & Cultural Tourism, tuwasiliane info@ecoculture-zanzibar.com
  4. M

    Mikumi National Park Tour

    Mbona hata webiste yenu haifunguki, mashaka haya
  5. M

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Habari nimeitafuta sana hii perfume lakini sijafanikiwa, niko Zanzibar, naomba unifahamishe wapi naweza ipata. please contact me through 0755873066
  6. M

    Maombi ya Refaral VISA kuja Tanzania ni kikwazo Uhamiaji

    Habari wana jamvi, kumekua na tatizo kubwa sana kwa Idara yetu ya uhamiaji kwa wageni wanaomba Referal Visa kuja Tanzania, mara nyingi wamekua wakicheleweshwa au kukataliwa kabisa, cha kushangaza wanaweza kuomba watu 2 wote wanatoka nchi moja tena ni mtu na mkewe, basi mmoja anakubaliwa na...
  7. M

    Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

    Huyu ni samaki wa maji chumvi ( baharini),hawezi kuishi ziwani......hapa kwetu wapo kibao, kama huyo ni Tsh 60,000 to Tsh 80,000
  8. M

    Swali fikirishi: Hivi kwanini Watanganyika wanachukia kuitwa Watanganyika?

    Utatukana sana Balahau,kwa sababu nakugusa ndipo,I hit the nail on the head, mimi sio kama nalijua Jumba la Train tu, napajua hadi Mtambile kwa bibi yako,wengi wenu mlikuja Unguja ka kufaulu form two, au kipindi kile mwisho form 3, mkifaulu mnapangiwa kuja kusoma Unguja, mkishafeli hamrudi...
  9. M

    Swali fikirishi: Hivi kwanini Watanganyika wanachukia kuitwa Watanganyika?

    Wewe ulipotoka Pemba kuja Zanzibar ulivuka Mto, wewe mkuja tu kwa Unguja, au ndo wale akina Abaa npandishiaaa,mama yako alipandishiwa mbegu ya Kiarabu,ili mradi azaliwe mweupe kweye familia, hahaaa, nawajua sana nyinyi hunacha kunieleza.
  10. M

    Swali fikirishi: Hivi kwanini Watanganyika wanachukia kuitwa Watanganyika?

    Upemba umekutoa povu sana, we Balahau,kubali wewe ni mpemba, na nyinyi ndio mna mbegu mbaya sana za chuki na ubaguzi,wakati nyinyi mmejaa tele kule Tanganyika na mna enjoy Muungano, watu wa wabara wakija kwenu mnakua mnachuki za ajabu,kazi yenu ubaguzi na majungu tuuuu,na kukaa pale darajani (...
  11. M

    Swali fikirishi: Hivi kwanini Watanganyika wanachukia kuitwa Watanganyika?

    Jibu swali Abaa, mbona unatoa povuuu,mbona wewe huo utumbo wako watu wamechangia na umeelekezwa wazi kabisa, naona wewe kuulizwa wapemba,pressure imepanda juu,na mapovu kibao,jibu swali,kwa nn wapemba nao hawapendi kuitwa wapemba wanapenda kuitwa Wazanzibari?
  12. M

    Swali fikirishi: Hivi kwanini Watanganyika wanachukia kuitwa Watanganyika?

    Na Wapemba mbona hawapendi kuitwa wapemba, wanapenda kutwa wazanzibari, sijui kwa nini
  13. M

    TISS (Usalama wa Taifa) mkiona inafaa, anzieni hapa

    Kwenye ajira ndio usiseme, hata kama ukipata, promotion ni tatizo, hata ukibadili dini, wanasema umebadili bandarini tu wewe ulipofika Zanzibar, yaani kuna tatizo sana, walio mbali hawajui, unaweza kuona kama mambo yako shwari ila sio shwari kabisa.
Back
Top Bottom