Recent content by malobosato

  1. M

    JamiiForums Tanzania Clouds TV/FM wanadharau walimu

    Mjinga akielimishwa hujiona kana kwamba yuko juu ya mwalimu wake,hawa wa..p..u..v wanajiona wanajua kuliko wengine
  2. M

    JamiiForums Tanzania Warioba tafadhali fanya maamuzi magumu

  3. M

    JamiiForums Tanzania Warioba tafadhali fanya maamuzi magumu

    hivi u hai au uko kuzimu?sizani aliyehai kama anaweza achama kama wewe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Who is X and Y?

    kichwa chako kimetulia,huo ndo mfumo wa tawala nyingi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bunge mzigo namba moja Tanzania

    Kuwa mbunge Tanzania nisawa na kujitia uwendawazimu,hii ni hasa pale ukiwa mbunge upande wa kutetea watawala.Hivi watu hawa wanamjua Mungu kweli?wanaishi nasi kweli au wanaishi ulaya na huja bungeni tu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

    msamiati mzuri ni kuchukua na si kuiba,kawaida mwizi hushitakiwa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha kero mpya kwa wafanyakazi

    Mwenye mamlaka alisema atapunguza kodi hadi ifikie digit moja,hamjui lazima pengo lizibwe?ndo hvyo na haina haja ya kumlalamia waziri yeye ni kipaza sauti tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Hayo ndo yaliyo ndani ya mioyo ya CCM wote,yeye amethubutu,je ataitwa jina pendwa la MCHOCHEZI kama ilivyozoeleka?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Pemba: ''Aipasua Kokwa' Jinsi Tanganyika ilivyo inyanganya Zanzibar Mamlaka yake

    Vp kungekuwa na Tundu watano tu bungeni mambo yangekuwaje?wewe unayemuona muongo ukweli ulionao ni upi?bila shaka wewe ndiye kiraka tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nape: UKAWA wapigwe mawe wakienda kwa wananchi

    kwao intalahamwe hakuna uchochez yote sawa tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuwa kapuya hajagawa simu yake huu hapa

    Unaelewa umepost nini kweli?unataka tufanye nini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto kila siku unaibuka na sababu mpya: Unadhalilisha taaluma na kujiharibia

    Siyo saizi yao ndo maana wamemtema
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

    Cha muhimu cdm waimarishe chama chao kuanzia ngazi za chini kabisa,malumbano yasipewe nafasi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo kazi ya CC-CHADEMA kwa wale wenye kutoa matamko bila kuijua katiba .

    Hivi ZZK chama gani vile?
Back
Top Bottom