- Joined
- Sep 5, 2010
- Messages
- 5,461
- Likes
- 85
- Points
- 145

Lukansola
JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010

Wakuu hii nimepata kutoka tanzania daima 'gazeti la udaku' la leo. Jumapili 01 Dec 2013
UFAFANIZU:
Yani ni kwamba, Kapuya si alisema kuwa ile simu alishaigawa zamani, sasa gazeti hili limechapisha habari kuwa, Kapuya alitia sahihi kitabu cha wageni huko Dodoma huku akiandika namba ya simu aliyoikana. Hii ilikuwa tarehe 25/06/2013.
Kwenye picha ni ukurasa wa kitabu alichotia saini Prof
Hapo ndo naomba mawazo yenu.
CC. malobosato

Attachments:
-
- File size
- 52.8 KB
- Views
- 815
Last edited by a moderator: