Bibi yake Edd mzaa baba anayeitwa Anne Ruth Mhina amefariki @ 78 yrs! Tarehe 14 mwezi february na ww uliyemwona edd itakuwa ni msukule wake kuleta issue zisizo issue juzi unaijua wkt ameshindwa ht kuja kwenye funeral maana na wife wake alikuwa na wkt mgumu kidogo grow up
Sent from my...
Ahsante kazi ni pale jamaa ni muislam na ndugu walitaka akae na bi mdogo na ndoa za kiislamu zinaeleweka na ushauri kwenye mapenzi sa ingine unajitengenezea chuki bora humu watu hawajuani anaposoma anachuja mwenyewe!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Nna rafiki yangu wa muda mrefu ambae alizaa na mume wa mtu ila hawajafunga ndoa, jamaa amempangia nyumba na anampa mahitaji yote ya mtoto km chakula, medical, kulipa bills ila hataki kuwa involved na mambo ya mwanamke km hela ya saluni, sijui fuel ya gari, au hata nguo za mwanamke ilhali anajua...
Ed amebahatika kupata mtoto wa kiume tarehe 18.2.2013 huko Uganda! And unfortunately amepoteza bibi yake aliyekuwa akiishi nae kwenye neighbourhood aliyokuwa akilelewa na wazazi wake huko Makongo juu! Ed is in Uganda ambako ndiko anakotokea mke wake
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.