Natafuta Girl wa kutoka naye sikukuu hizi

Unaijua window period(kipindi cha dirisha) kwenye maswala ya ukimwi? Maana kutaka kwako kumpima kunaweza kukawa hakuna maana!

Natafuta msichana wa ku-spend naye sikukuu hizi, yaani kuanzia tarehe 24 December, 2012 hadi tarehe 02 January, 2013. Sifa zake ni:-

  1. Awe mrembo na wa kuvutia
  2. Umri kati ya miaka 18 - 25
  3. Asiwe mnene wala mwembamba sana
  4. Awe tayari kupima afya kwanza
  5. Kama atafurahia na mimi nikavutiwa naye basi tunaweza kuendelea na mahusiano hata baada ya hapo

Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo vyote basi ani-pm. Kwa wengine wote nawatakia sikukuu njema na tukutane tena hapa mwakani.
 
mh, secret admirer unapenda 6 pack, i got 12 packs, 6 on both sides, so SEXY

Hahahaaaaa..... I'm down for that daaaaah... 12packs utakuwa umegawanyikaaaaje...maana kama vibanda vya kkoo..
 
Natafuta msichana wa ku-spend naye sikukuu hizi, yaani kuanzia tarehe 24 December, 2012 hadi tarehe 02 January, 2013. Sifa zake ni:-
  1. Awe mrembo na wa kuvutia
  2. Umri kati ya miaka 18 - 25
  3. Asiwe mnene wala mwembamba sana
  4. Awe tayari kupima afya kwanza
  5. Kama atafurahia na mimi nikavutiwa naye basi tunaweza kuendelea na mahusiano hata baada ya hapo
Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo vyote basi ani-pm. Kwa wengine wote nawatakia sikukuu njema na tukutane tena hapa mwakani.
Hata mimi pia nahitaji kaka,
So kama ukiwapata wa kutosha nirushie mmoja mkuu wangu.

Watu wanajifanya wachamungu sana kumbe hakuna lolote. Wanaona ajaaaaaaabu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom