Recent content by MALKIA WA TABASAMU

  1. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania SOFTCOPY YA RIWAYA MPYA ELFU 3 TU.

    KATIKATI nguvu ya KIAPO. Muuguzi aliyesalia nami katika chumba kile cha matibabu, haraka sana alinikimbilia na kuniita jina langu. Alitabasamu na kuniambia "karibu" binafsi nilizidisha mshangao, "Dakitari wako anakuja sasa hivi, naomba usijitikise mwili tafadhali" machozi yalianza...
  2. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania RIWAYA MPYA MJINI.

    Ni riwaya ya maisha n mapenzi
  3. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Happy Father's Day kwa akina baba wote JF na Dunia kwa ujumla. Una ujumbe gani kwa Baba yako leo?

    HERI YA SIKU YA BABA DUNIANI! Wewe ni muhimu sana kwenye haya maisha. Wewe ni nguvu ya watoto wako. Kuna vitu mama hata apambane vipi, hawezi kumpatia mtoto. Wazazi wote ni muhimu kwa nafasi zao ila, baba ni mhimili kwenye maisha ya mtoto wake. BABA; Jina hili ni kofia ya moto yenye misumari...
  4. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania RIWAYA MPYA MJINI.

    Nguvu ya KIAPO. Habari ya asubuhi mpendwa wangu!!!! Ni matumaini yangu uu, buheri wa afya. Namtukuza Mungu kwa ajili yako. Rasmi kabisa nakutaarifu, juu ya ujio wa riwaya yangu mpya iitwayo; nguvu ya KIAPO Itaingia sokoni rasmi tarehe 15/6/2024 Kitabu hiki kitapatikana kwa shilingi elfu 12...
  5. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye uhitaji wa wanawake wengi, hana furaha yeye mwenyewe

    Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe. Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake. Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...
  6. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjumbe hauawi. Mwanamke huwa msafi kabla ya kuolewa, akiolewa mambo hubadilika

    Mimi nina watatu na ukiniona kama nina 17 yes.... nimechagua tu kuwa mwanamke wa kiafrika.
  7. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya maarifa kwa Mwanamke

    Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu. SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
  8. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjumbe hauawi. Mwanamke huwa msafi kabla ya kuolewa, akiolewa mambo hubadilika

    MJUMBE HAUWAWI. Nimepitia comment kwenye hii post. Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii. Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni? Nikaendelea kusoma Comment, nanukuu mbili. "Mwanamke ukianza naye anakuwa msafi na wa maana sana, muoe sasa...
  9. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Punguza matarajio

    Tunaumizwa na watu tunaowapenda. Tumewapa haki hiyo tulipojiaminisha upendo tulionao kwao ndio walionao kwetu. Tumechagua wenyewe kuumia. Haki ya kulibangua hilo na kuliweka kwenye kipimo stahiki imeshikamana sana na mataraja yetu. Tunaamini tunavyovitarajia kuliko vilivyobwagwa upeoni mwetu...
  10. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Ushauri mzuri kwa wadogo zangu.

    MDOGO WANGU! Dada yako Eva Mrema, nimewiwa kukuambukiza maarifa. Haya ni mambo matano ambayo nakuomba sana uyawekee mazingatio katika umri wa ujana kuelekea utu uzima wako. 1. ZINGATIA KUJIKUZA. Katika umri wa ujana mbichi binti wa kisasa unawaza usome, uhitimu; upate kazi, upate mwanaume...
  11. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya wananchi kukua kwa maendeleo ya nchi

    Tanzania tuitakayo inahitaji watu wanaokua. Mdumao wa karne kwa karne wa Afrika sio kosa letu. Simaanishi tupo tulipokuwa, ila tunajongea kwa mwendo wa kinyonga ukilinganisha na mataifa kwenye mabara mengine. Tunadumaa kwa sababu dunia inaogopa tukifunguliwa tutakuwaje. Nchi kubwa kama...
  12. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Mambo matano yatakayokusaidia kutengeza mahusiano bora ya ndoa

    ZINGATIA HAYA ALFAJIRI. KIJANA JINSI ZOTE. Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata kukupeleka kwenye ndoa. Watu wengi huanguka mwanzo/asubuhi lakini athari huonekana jioni kwa sababu tu...
  13. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania 'Nahitaji sana pesa' kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima

    Kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima. Kauli hii hutamkwa hata na wale wenye nazo za kukidhi ila hazijawakinaisha. Nikisema nazihitaji, mtauliza tofauti yangu na wao ni ipi ama ni nini? Nahitaji pesa ili niikomboe kesho inayonitafuna sana moyoni. Ningepewa...
  14. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Tenda wema, nenda zako...

    Nimekutana na rafiki yangu wa kitambo kwa ghafula. Ni mahala ambapo hata ndotoni hakuna kati yetu ambaye angeamini kama tungekutana baada ya miaka 13 ya 'tusitambuane'. Ilikuwa miaka ya ujana mbichi wenye utoto ndani yake. Alinipora "Shilingi niloithamini kabla hata sijaonja kuitumia" zingatia...
  15. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mmomonyoko wa maadili na maendeleo ya Taifa la Tanzania

    utanguizi. Mmomonyoko wa maadili si neno geni hata kwa sikio jipya. Ki falsafa mmomonyoko wa maadili ni ukiukwaji wa utamaduni mama uliokuwa sahihi ki msingi; ni kinyume na kila utaratibu wa utu. Nachelea kusema, Mmomonyoko huu kuna namna tumekwisha kuuhalalisha kama jamii kwa kisingizio cha...
Back
Top Bottom