Akijitoa na kuingia chama chochote atashinda uraisi kwa kishindo. Na hapo CCM itajuta maana ina JK na Riz watamfuata Nguza lupango kwa ufisadi mkubwa waliofanya kwenye hii!
Sasa mabango ya kuonyesha mnapenda mlibeba ya nini? Hebu acheni siasa zenu chafu. Kila uchao mnatumwa na kina Membe kuanzisha threads za kumkashifu Lowassa badala ya kujenga hoja za msingi! Na kusema mtaifanyia nchi....
MJENGA
The most powerful leader in the World, Barack Obama alitumia kauli mbiu ya HOPE FOR CHANGE. Nadhani hata kwa Lowassa si dhambi kuwapa watanzania matumaini.
Salim Kikeke angekuwa anatumia busara zaidi kujitoa kwenye tuzo hizi. Ushiriki wake hauna usawa na washindani wengine wanaosikika ndani ya Tanzania pekee, tofauti na yeye anayefanyia kazi chombo ambacho ni cha kimataifa na hivyo kutokuwa na fairness katika upatikanaji wa wapiga kura.
Ni wiki ya pili sasa nikinunua kifurushi huwa sipati dakika za kifurushi, badala yake hela inaliwa kutoka kwenye main account. Nimepiga simu customer service mara kadhaa wananipiga danadana na inaonyesha hawajui wanachokifanya, kwani wanasema tatizo lako litakuwa solved baada ya 2 hours. Na hata...
Kwa muda sasa nimekuwa mfuatiliaji wa kipindi cha weekend bonanza kinachoendeshwa na Kinyaiya na Suzy Baltazary. Kipindi hiki kimepita katika mabadiliko kadhaa lakini nadhani hayasaidii kukiboresha, bali kimezidi kuwa cha ovyo. Nadhani watangazaji (hawa wanaojiita wauza maneno wa mjini)...
Customer service line is supposed to be free. Lakini mnapopigiwa customer service line (100) mnachaji Sh. 60 halafu hata hao customer care assistants wenyewe hawatoshelezi hata kidogo - they don't solve issues. Utaambiwa NTARIPOTI KWA IDARA INAYOHUSIKA! Plz tafakarini tena hii kitu mnatia aibu!
Regency hospital, whats wrong with number 0222150500? Inapigwa haipokelewi! Which hotline is the best to reach this hospital? Mgonjwa anaweza kupoteza maisha kwa sababu ya uzembe wa operators. Please do the needful - pick up the phone!
Mkuu wa nchi anaposafiri kwenda popote pamoja na delegation yake kikazi, pia huwa anabeba waandishi wa habari ili kuujulisha umma yale yanayotokea huko. Lakini iko tofauti kwa waandishi wetu wanaoambatana na JK, maana kwao imekuwa kama ni vacation au picnic.
Coverage ya President imekuwa so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.