Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nina rafiki wa kike lakini huyu rafiki wa kike huwa tunapenda sana kuongea usiku, lakini kila nikiongea naye siku hizi maongezi hayaishi mara ananiambia mimi sina usingizi kabisa lakini cha maana anachokuambia hakuna zaidi kukuulizia tu mchumba wako na...
Habari za jioni wadau,anayejua kuhusu bei za vitenge aina zote na jinsi zinavyouzwa kuna mtu yupo mkoani kaniuliza anataka kujua ili aangize,naomaba msaada wenu ili ajue na kama akiagiza yeyote aliyeko dar nitamtafuta ili aniuzie akikubaliana na bei hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.