Urafiki wa utata

Urafiki wa utata

Hivi kwanini wanaume wengi wakipendwa wanakuwa kama wajingajinga kweli mleta mada hajui cha kufanya apo
 
Acha kabisaa kuwasiliana na huyo binti.
 
We nipatie namba yake ataacha tu kukusumbua
 
Jifunze kuweka mipaka kwenye mahusiano yako. Iwe urafiki ama uchumba.
Huyo unamchekea chekea ndio maana anakutongoza kijanja alaf na ww hujagundua.
Kama unampenda mpenz wako... mpige stop order huyo rafiki yako.. na muoneshe kuwa unampenda mpenz wako sana. Asije kukuharibia kwa mpenz wako
 
woi woi woi asee 🙁 tangia kiroba kizuiwe imekuwa hatar sana sasa hapo nini hujui
 
anataka kukuonyesha maajabu ya dunia.. we msikilizie tu mkuu...!!!
 
Vitoto vya form six viko vacation sasa hivi... Jukwaa litakomaje..
 
nishaacha mazoea naye mkuu.
Hembu acha kutuaibisha wasukuma bwana na umri huo unaleta mambo ya aibu namna hii mbele ya jamii. Mwanamke unaona kabisa nyege zinamsumbua bado chenga za nini. Haya huna mpango naye kwanini hujamwambia kwamba huna mpango naye. We nadhani utakuwa msukuma wa dar wewe utokee itilima,ikunguilipu,giliku, au matongo jambo kama Hili halihitaji ushauri alaaah.
 
Back
Top Bottom