Recent content by malimangapi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya kiusalama vijitathmini

    Taasisi hizi zikiwemo Polisi, na Usalama wa Taifa zimekuwa hazifanyi kazi zao kukidhi mahitaji ya KATIBA ya Nchi wala matakwa ya Uanzishwaji wa vyombo hivi bali kufuata utashi wa Raisi aliye Madarakani. Maana yake ni kwamba vyombo hivi havitumikii Taifa bali Mtu. Mfano ni wa huyu aliyekuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

    Huyu aliyekuwa anajiita Mwanaharakati huru aliyekuwa "anatetea" Mamlaka ya Urais wa Hayati John Pombe Magufuli yuko wapi? Ukimya wake katika kipindi hiki ambacho Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu anashutumiwa kwa mambo kadhaa unatia mashaka kama kweli alikuwa anatetea "Uraisi" zaidi ya tumbo lake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

    Kwa asimia ngapi Bandari zetu za Tanga na Mtwara zinatumika? Kuna tofauti gani za gharama kati ya kuzipanua na kuziimarisha Bandari za Tanga na Mtwara na ujenzi wa Bandari mpya ya Bagamoyo. Ni faida zipi zitakazoletwa na Bandari ya Bagamoyo ambazo hatuzipati katika Bandari za Tanga na Mtwara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kujadili siasa pekee ni kupoteza muda

    Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake. Zito anajaribu kuingiza wazo la kupanua wigo wa mazungumzo. lakini kwa sasa jambo muhimu ni kuimarisha Demokrasia yasije yakajirudia yale ya 2020.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    Kweli elimu ya tanz imezalisha watu wa ajabu, wasiokuwa na uwezo wa kuchambua hoja kwa mapana na kina.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano ya kisiasa na maandamano

    Polisi wanatunyima haki zetu za kiraia kama watakavyo. Tusipoamka kuna siku watatuzuia kupumua.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mzoefu wa kususia, Lowassa, Sumaye na Kingunge nasikia hoi

    Ya ZNZ hawawezi kuyasema kwa sababu yamewavua nguo. Lakini kwa sababu hawana aibu watain'gan'gania znz mpaka mwisho.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Nahilo pia limekwisha pita. hata la yule dr mwingine wa mihogo likija litapita pia. kesho kura kwa LOWASSA.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbona sualala Taifa kushindwa kuzalisha wataalamu halizungumzwi na wagombea?

    Tena hiyo tsh 10,000/= ambayo haifiki mashuleni kwa kila mwanaf. Kwa mwezi ni fedha za wafadhili.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mengi akanusha habari zinazodai 'amejitoa rasmi kwa Lowassa'

    Mtandao huu sio huru?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe rudisha hela zetu

    Hizi nazo ni sehemu ya sera za ccm? Nilifikiri mambo km haya yapo FB peke yake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ipi tofauti ya anachokifanya Dr. Slaa, MM Mwanakijiji na Evarist Chachali?

    Watanzania tunajua tunachokitaka. Tunataka ukombozi wa kifikra na kiuchumi na haki sawa mbele ya sheria
  13. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

    Majibu tar. 25 oct
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa wapigwa mabomu na Polisi Musoma Mjini

    Jeshi hili linatakiwa kuvunjwa, ni tawi la chama cha siasa.
Back
Top Bottom