Recent content by Malilo II

  1. Malilo II

    Ni kwanini maeneo mengi ya mijini nchini yanakaliwa sana wamanyema kuliko wenyeji wa mikoa hiyo

    Hapana, hutujui, Wamanyema si Wabembe, usiwe kama hujasoma historia ya Tanzania, Hivi ukiskia Sheikh Amri Abeid Karuta, Sheikh Yahya Hussein, Sheikh Ramiya wa Bagamoyo, Idd Faiz, Idd Tosiri ambao wote ni wanachama wa mwanzo wa TANU walikuwa kabila gani kama si Wamanyema?, tena hilo linajulikana...
  2. Malilo II

    Naomba kujua utaratibu (mila) ya kabila la Wamanyema

    Mwami Atale, bila shaka ni Mbembe, Kuna tofauti kati ya mila ya Kimanyema na kibembe. Maana kuna Wabembe wa aina mbili, Wabembe Wamanyema(hawa wengi ni wanyang'nja) na Wabembe wa kujitegemea(wengi wanyakaboge). Suala la Wajomba na kutaka vitu si mila ya Kimanyema bali sehemu yamila za zamani za...
  3. Malilo II

    Historia ya Mzee Kipusa

    Shida iko hapo
  4. Malilo II

    Historia ya Mzee Kipusa

    Kama ni kweli, pole Mzee Ushauri wangu Inaonekana kweli una maadui wengi ila adui na. 1 ni akili yako. 1. Punguza kufikiri sana, unaichosha akili yako na unajinyima furaha. 2. Acha kuhisi una "special mission" wewe ni muhimu kama watu wengine na ni wa kawaida kama watu wengine, kama una kitu...
  5. Malilo II

    Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    Goma tulipotokea Wagoma ni tofauti na hiyo Goma ya Kivu kaskazini, Goma ya Wagoma ni Kivu kusini, Mwambao wa Zoni ya Fizi mpaka kaskazini ya Kalemi(Kabimba, Falls Bendera). Kwa kilugha hutamkwa G'oma(g'=voiced velar approximant), na siyo jina la eneo la kisiasa ni kama vile kusema Fipa=Wafipa...
  6. Malilo II

    Wamanyema ndio kabila pekee lenye watu majasiri, shupavu, na wajanja hapa nchini

    Wabwari wenyeji wa Burundi wapo ila kiasili wanatokea Zoni ya Fizi katika Himaya ya kijadi ya nusu kisiwa ya Ubwari, ili jibu lako liwe sahihi inategemea unajibu kwa mtazamo gani.
  7. Malilo II

    Wamanyema ndio kabila pekee lenye watu majasiri, shupavu, na wajanja hapa nchini

    Hata wewe pia hujui kitu, siyo tu Kasongo bali Congo nzima hakuna kabila la Wamanyema, bali kuna jimbo linaitwa Maniema, Utambulisho wa jamii ya Wamanyema ni Tanzania pekee, na zaidi zaidi Ujiji tumezoeleka kama Waswahili, majina ya jamii nyingi hutolewa kwa dhana tofauti tofauti ila...
  8. Malilo II

    Wamanyema ndio kabila pekee lenye watu majasiri, shupavu, na wajanja hapa nchini

    Kama unamaanisha lugha moja ni kweli Wamanyema hatuna lugha moja ya asili kama ilivyo kwa Wachaga ila tofauti na Wachaga sisi tunayo lugha unganishi "lingua franca" Kiswahili cha lahaja ya kiungwana, pia kwa mfanano na Wachaga tunazo lugha zaidi ya moja kufuatana na kabila dogo la ndani la...
Back
Top Bottom